Tanzania haijawahi kuwatetemekea wazungu ndio maana kwenye magereza yetu wamejaa tele, wewe tuoneshe mzungu mmoja aliyehukumiwa jela huko Kenya au Caucasian yeyote.
Sisi wazungu wanatujua we don't give a damn toka African liberation movements tulishaondolewa kwenye ramani ya mabeberu, ninyi ndio huwatetemekea mpaka trump kuita sitholes na serikali yenu inamtetea.
Inshort hamna reputation legitimacy ya kumfundisha Mtanzania hayo yote.