Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Nionyeshe hao wazungu nitakuonyesha double walio hukuTanzania haijawahi kuwatetemekea wazungu ndio maana kwenye magereza yetu wamejaa tele, wewe tuoneshe mzungu mmoja aliyehukumiwa jela huko Kenya au Caucasian yeyote.
Sisi wazungu wanatujua we don't give a damn toka African liberation movements tulishaondolewa kwenye ramani ya mabeberu, ninyi ndio huwatetemekea mpaka trump kuita sitholes na serikali yenu inamtetea.
Inshort hamna reputation legitimacy ya kumfundisha Mtanzania hayo yote.