MK254 haya, tayari tumeumbwa msamaha kama taifa 😊

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Hapo vipi?
Ulilia sana kuhusu that president's remarks juu ya ubabe wetu kule UN, siku zote matumizi ya matusi ni ishara ya udhaifu ndio maana tupo mute.

======

Ronald Reagan’s daughter apologises for her father's ‘monkeys’ remark on Tanzanian UN delegation

Patti Davis, the daughter of late President Ronald Reagan, addressed recently uncovered remarks in which her father referred to Africans as “monkeys” at the UN 48 years ago

Davis, 66, penned an op-ed in the Washington Post Thursday and said that although there is “no defense, no rationalization, no suitable explanation” for what Reagan said, she thinks he would ask forgiveness for the comments if he were alive now.

“I don’t know if it was masochism or shock, but I listened to the tape twice before allowing myself to cry. I wanted the story to go away, to get buried in the news of the debate. I wanted to immediately go back in time to before I heard my father’s voice saying those words,” Davis wrote.

In the tape, released last week, Reagan can be heard speaking with then-President Richard Nixon about a United Nations vote to recognize the People’s Republic of China. Reagan vented his frustration with the Tanzanian delegation for dancing after the country was seated.

“To see those, those monkeys from those African countries — damn them, they’re still uncomfortable wearing shoes!” Reagan told Nixon to laughter.

In her op-ed, Davis described how she never saw that side of her father, noting, “He’s not a man I knew.”

She described her father holding her in his arms and telling her, “God made all his creations in different colors. It would be pretty boring if we all looked the same.”

Davis also described how her father, while governor of California, refused to accept membership into an all-white country club and as a college football player wouldn’t stay at a hotel that was whites-only, instead taking the black players to his parents’ house.

“I can tell you all these things, and more, but it doesn’t remove the knife cut of the words I heard him say on that tape,” Davis wrote. “That wound will stay with me forever. But I believe, if my father had, years after the fact, heard that tape, he would have asked for forgiveness.

“He would have sought to make amends for the pain his words caused,” she added.

Ndio unyani utatufutika?

Au mipushapu ina reflect maneno ya Reagan?
 
Kwani alipotamka unyani ndio uliiingia?, haya matamshi yanahusika katika kushusha au kupandisha heshima ya mtu au Taifa, dawa yake ni matamshi kufuta Yale ya mwanzo.
Mipushapu hujaiongelea mkuu!
 
Hehehe!! Aliyewatukana mifupa yake imefukiwa huko kwao, sasa kitukuu akisema mnapata raha sana.....
Ni kama leo mjukuu wa Hitler aombe Wayahudi msamaha kwa ajili ya mambo aliyoyafanya babu.
Halafu nakumbuka mlikana kwamba hamkutukanwa, leo hii mnapokea ombi la msamaha kwa furaha.....Mwafrika bana, yaani ukimgusa tu anaachia.

Anyway, nia yangu ilikua tuache kuchekana pale mmoja wetu ametukanwa tusi linalotuhusu sote, ukimtusi Mwafrika yeyote kwa kutumia Uafrika wake, ujue umetusi bara lote, na itakua ujinga sana tukichekana, tutakua kama nyumbu wanaochekana pale mmoja wao amekamatwa na mamba ilhali anayecheka yumo humo kwenye mtoni huo wenye mamba.
 
Waliotukana na waliotukanwa wote wameshajiozea kaburini huko, sisi tuliobaki bado tunababaika na matusi yao.

Supremacy iliyojengwa na mtu mweupe dhidi ya mtu mweusi itadumu milele na milele. Mtakuwa inferior tu, na vizazi vyenu vijavyo navyo vitakuwa inferior mpaka mwisho!

Ndio muelewe dunia inajiendesha kwenye muhimili wake na kila kitu kimekaa kwenye safu yake. Muache kujitutumua.

Mtumwa ni mtumwa milele!
 
Mchina hawker aliyewatukana kaomba Msamaha? Na anaishi!
 
Waliotukana na waliotukanwa wote wameshajiozea kaburini huko, sisi tuliobaki bado tunababaika na matusi yao.

Supremacy iliyojengwa na mtu mweupe dhidi ya mtu mweusi itadumu milele na milele. Mtakuwa inferior tu, na vizazi vyenu vijavyo navyo vitakuwa inferior mpaka mwisho!

Ndio muelewe dunia inajiendesha kwenye muhimili wake na kila kitu kimekaa kwenye safu yake. Muache kujitutumua.

Mtumwa ni mtumwa milele!
Nani kakuambia waliotukanwa wamekufa? Yupo balozi Salim Ahmed Salim aliekuwa mjumbe wa kudumu kwenye umoja wa mataifa akiiwakilisha Tanzania, yupo hai mpaka sasa sababu aliteuliwa na Nyerere akiwa na umri mdogo sana kushika nyadhifa kubwa serikali.

Aliteuliwa kuwa balozi wa Tanzania Misri akiwa na miaka 22 so bado yupo hai na ni kati ya Waafrika wa5 wenye ushawishi mkubwa na wanaohusudiwa sana na taifa la China,

Hehehe!! Aliyewatukana mifupa yake imefukiwa huko kwao, sasa kitukuu akisema mnapata raha sana.....
Ni kama leo mjukuu wa Hitler aombe Wayahudi msamaha kwa ajili ya mambo aliyoyafanya babu.
Halafu nakumbuka mlikana kwamba hamkutukanwa, leo hii mnapokea ombi la msamaha kwa furaha.....Mwafrika bana, yaani ukimgusa tu anaachia.

Anyway, nia yangu ilikua tuache kuchekana pale mmoja wetu ametukanwa tusi linalotuhusu sote, ukimtusi Mwafrika yeyote kwa kutumia Uafrika wake, ujue umetusi bara lote, na itakua ujinga sana tukichekana, tutakua kama nyumbu wanaochekana pale mmoja wao amekamatwa na mamba ilhali anayecheka yumo humo kwenye mtoni huo wenye mamba.
Mzee unaongea swahili safi tofauti na kenyans wengi
 
Hitler hakupata mtoto
 
Nani kakuambia waliotukanwa wamekufa? Yupo balozi Salim Ahmed Salim aliekuwa mjumbe wa kudumu kwenye umoja wa mataifa akiiwakilisha Tanzania, yupo hai mpaka sasa sababu aliteuliwa na Nyerere akiwa na umri mdogo sana kushika nyadhifa kubwa serikali.

Aliteuliwa kuwa balozi wa Tanzania Misri akiwa na miaka 26 so bado yupo hai na ni kati ya Waafrika wa5 wenye ushawishi mkubwa na wanaohusudiwa sana na taifa la China,

Hao walio hai ni wangapi mpaka sasa hivi?
 
Hehehe!! Aliyewatukana mifupa yake imefukiwa huko kwao, sasa kitukuu akisema mnapata raha sana.....
Ni kama leo mjukuu wa Hitler aombe Wayahudi msamaha kwa ajili ya mambo aliyoyafanya babu.
Halafu nakumbuka mlikana kwamba hamkutukanwa, leo hii mnapokea ombi la msamaha kwa furaha.....Mwafrika bana, yaani ukimgusa tu anaachia.

Anyway, nia yangu ilikua tuache kuchekana pale mmoja wetu ametukanwa tusi linalotuhusu sote, ukimtusi Mwafrika yeyote kwa kutumia Uafrika wake, ujue umetusi bara lote, na itakua ujinga sana tukichekana, tutakua kama nyumbu wanaochekana pale mmoja wao amekamatwa na mamba ilhali anayecheka yumo humo kwenye mtoni huo wenye mamba.
Of course hakuna reaction yoyote iliyotoka serikali ya Tanzania kwenda popote baada ya hii leakage ambayo ilitolewa na mtu mkubwa sana kwenye serikali ya US (Usifananishe na yule kibaka wa kichina)

Binti kajitathmini kaona ipo haja kuomba radhi, nafikiri atafanya formally kuandika kwa mjumbe wa kudumu kwenye umoja wa mataifa akiiwakilisha Tanzania, wizara ya mambo ya nje na ataiCC kwa Rais.

Hakuna mwenye muda nao JPM yupo busy na Tanzania ya viwanda lakini hii ngoma itafika mbali na huyo binti lazima aripoti Tanzania kutupasha kinaganaubaga hasa ukizingatia waliotukanwa kuna waliohai.
 
Wakiwa hai inasaidia nini?
Racism au racial discrimination case in US is the sensitive matter tatizo lako wewe upeo wako ni hapo manzese ukifika mbali sana ni chanika, hii kwetu sisi global citizens ni case nzito kwa taifa kama la marekani lenye history mbaya kuhusu racism.

More than 70% accountability ya hii statement kutoka kwa huyu binti ni towards US sake then the rest ndio huko Tanzania.
 
Global citizens?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu pambana tu na hali yako!
 
Back
Top Bottom