MK254 haya, tayari tumeumbwa msamaha kama taifa 😊

MK254 haya, tayari tumeumbwa msamaha kama taifa 😊

Global citizens?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu pambana tu na hali yako!
Am actually holding a global citizenship for sometime now, how is that laughable? 😅😅
 
Duh, Waafrica bana! Tutaendelea kuwa vibaraka wa wazungu tu! Who the F is Reaga's daughter??? no wonder wazee wa vijiji wetu walidanganywa na wakolonina kupewa pipi na chocolate ili waruhusu waafrica kuuzwa....... Tuna frahishwa na ujinga mtupu, Hilo neno la Monkey muafrika yeyote, wacha hata muanfrika.... mtu yeyote mweusi akiitwa hivyo na mzungu ni tusi kwa sisi sote watu walio na rangi nyeusi...... nakumbuka ule wakati yule mchina alisema jambo kama hilo eti WaTZ wakawa wanatucheka kana kwamba hilo tusi haliwagusi wao pia na mtu yeyote mweusi!
 
Hehehe!! Aliyewatukana mifupa yake imefukiwa huko kwao, sasa kitukuu akisema mnapata raha sana.....
Ni kama leo mjukuu wa Hitler aombe Wayahudi msamaha kwa ajili ya mambo aliyoyafanya babu.
Halafu nakumbuka mlikana kwamba hamkutukanwa, leo hii mnapokea ombi la msamaha kwa furaha.....Mwafrika bana, yaani ukimgusa tu anaachia.

Anyway, nia yangu ilikua tuache kuchekana pale mmoja wetu ametukanwa tusi linalotuhusu sote, ukimtusi Mwafrika yeyote kwa kutumia Uafrika wake, ujue umetusi bara lote, na itakua ujinga sana tukichekana, tutakua kama nyumbu wanaochekana pale mmoja wao amekamatwa na mamba ilhali anayecheka yumo humo kwenye mtoni huo wenye mamba.
Maadamu ninyi ni weupe zaidi yetu na hilo tusi hakikuwagusa kwa namna yoyote hongereni
 
Am actually holding a global citizenship for sometime now, how is that laughable? [emoji28][emoji28]
Hiyo 'global citizens' umeitoa wapi na serikali yako ya Tanganyika hairuhusu uraia pacha??

Hivyo visafari vyako kwenye hayo magenge ya wavuta bange wa marekani ndio unaita global citizenship?
 
Hapo vipi?
Ulilia sana kuhusu that president's remarks juu ya ubabe wetu kule UN, siku zote matumizi ya matusi ni ishara ya udhaifu ndio maana tupo mute.

Mbona unaleta hizi ndoto za mashetani na wachawi kwa jukwaa la Kenya na sio sisi tulioitwa nugu? Keep your dirty linen home in Tanzania's closet.
 
Duh, Waafrica bana! Tutaendelea kuwa vibaraka wa wazungu tu! Who the F is Reaga's daughter??? no wonder wazee wa vijiji wetu walidanganywa na wakolonina kupewa pipi na chocolate ili waruhusu waafrica kuuzwa....... Tuna frahishwa na ujinga mtupu, Hilo neno la Monkey muafrika yeyote, wacha hata muanfrika.... mtu yeyote mweusi akiitwa hivyo na mzungu ni tusi kwa sisi sote watu walio na rangi nyeusi...... nakumbuka ule wakati yule mchina alisema jambo kama hilo eti WaTZ wakawa wanatucheka kana kwamba hilo tusi haliwagusi wao pia na mtu yeyote mweusi!
Tanzania haijawahi kuwatetemekea wazungu ndio maana kwenye magereza yetu wamejaa tele, wewe tuoneshe mzungu mmoja aliyehukumiwa jela huko Kenya au Caucasian yeyote.

Sisi wazungu wanatujua we don't give a damn toka African liberation movements tulishaondolewa kwenye ramani ya mabeberu, ninyi ndio huwatetemekea mpaka trump kuita sitholes na serikali yenu inamtetea.

Inshort hamna reputation legitimacy ya kumfundisha Mtanzania hayo yote.
 
Hiyo 'global citizens' umeitoa wapi na serikali yako ya Tanganyika hairuhusu uraia pacha??

Hivyo visafari vyako kwenye hayo magenge ya wavuta bange wa marekani ndio unaita global citizenship?
Sema kama unataka connections, Punguza vilio.
 
Waliotukana na waliotukanwa wote wameshajiozea kaburini huko, sisi tuliobaki bado tunababaika na matusi yao.

Supremacy iliyojengwa na mtu mweupe dhidi ya mtu mweusi itadumu milele na milele. Mtakuwa inferior tu, na vizazi vyenu vijavyo navyo vitakuwa inferior mpaka mwisho!

Ndio muelewe dunia inajiendesha kwenye muhimili wake na kila kitu kimekaa kwenye safu yake. Muache kujitutumua.

Mtumwa ni mtumwa milele!
Hujui historia wewe mtumwa wa fikra.
Huyo mtu mweupe amewahi kuwa mtumwa.

Unawajua Moors toka bara la Africa waliotawala na kupeleka ustaarabu wa choo na sauna huko Ulaya?

Walijenga University nyingi Ulaya(Spain na Ureno)

Walipeleka utaalamu wa navigation ulimuwezesha Christopher Columbus kwenda bara America (mtu mweupe wa kwanza kuiona America).

Soma hapa historia ya Moors: bonyeza Link
 
Mbona unaleta hizi ndoto za mashetani na wachawi kwa jukwaa la Kenya na sio sisi tulioitwa nugu? Keep your dirty linen home in Tanzania's closet.
Nyinyi ni stupid nugu by chinese
 
Hujui historia wewe mtumwa wa fikra.
Huyo mtu mweupe amewahi kuwa mtumwa.

Unawajua Moors toka bara la Africa waliotawala na kupeleka ustaarabu wa choo na sauna huko Ulaya?

Walijenga University nyingi Ulaya(Spain na Ureno)

Walipeleka utaalamu wa navigation ulimuwezesha Christopher Columbus kwenda bara America (mtu mweupe wa kwanza kuiona America).

Soma hapa historia ya Moors: bonyeza Link
Hadithi tupu hizi kama debe la mwendawazimu!

White supremacy imewafunga minyororo mizito vichwani watu weusi!

Mmeshaharibiwaa self esteem kutoka kizazi cha wakina Kinjektile mpaka vizazi vyote vitakavyofuata!

Ndio maana mkiitwa nyani mnahamaki! Mtukanaji mwenyeji alishajifia huko kaburini kawa vumbi lakini tusi lake linawatetemesha hata ambao hamkuwepo!

Hii racial inferiority kuiondoa inahitaji maombi na miujiza ya Kristo!
 
Vichwani mwa watu kama wewe haitaondoka.umepewa andiko la ki-scholar bado unasema hadithi!!

Soma hiyo article nani ameandika, ameweka ishahidi gani.

Watu gani muhimu wamewekwa ktk hilo andiko. Angalia majina yao, kalenda ya matukio kisha fuatilia kumbukumbu za hao watu weupe unaowaabudu kama zitapingana na hizo zilizo ktk andiko.

Cheikh Anta Diop alikuwa anawazungumzia watu kama wewe hapo chini.

"Black people ignore that their ancestors, who adjusted to the material conditions of the Nile valley, are the oldest guides of humankind on the way to civilisation". Cheikh Anta Diop
 
Mchina hawker aliyewatukana kaomba Msamaha? Na anaishi!
Alitufukuzwa Kenya angali hai na kuomba msamaha wakati anakamatwa na kurushwa kwa Ndege. Reagan aliwatukana mababu zenu miaka ya 70s,akafa bila kuwapa msamaha kwa hip Hadi wa Leo yani miaka 40 bado nyie ni nyani 😂😂😂...Tanzania ya 70s and 80s
 
Alitufukuzwa Kenya angali hai na kuomba msamaha wakati anakamatwa na kurushwa kwa Ndege. Reagan aliwatukana mababu zenu miaka ya 70s,akafa bila kuwapa msamaha kwa hip Hadi wa Leo yani miaka 40 bado nyie ni nyani [emoji23][emoji23][emoji23]...Tanzania ya 70s and 80s
Wakenya bwana! Hivi yule Rais wenu anaitwa moi sijui... angekuwa miongoni mwa ile delegation sijui wazungu wangempa jina gani!!

Anyway, tusidhihaki uumbaji wa "mola"!
 
Waafrika tuambiwe Mara ngapi tuelew,kua hatupendwi na wazungu.
 
Hehehe!! Aliyewatukana mifupa yake imefukiwa huko kwao, sasa kitukuu akisema mnapata raha sana.....
Ni kama leo mjukuu wa Hitler aombe Wayahudi msamaha kwa ajili ya mambo aliyoyafanya babu.
Halafu nakumbuka mlikana kwamba hamkutukanwa, leo hii mnapokea ombi la msamaha kwa furaha.....Mwafrika bana, yaani ukimgusa tu anaachia.

Anyway, nia yangu ilikua tuache kuchekana pale mmoja wetu ametukanwa tusi linalotuhusu sote, ukimtusi Mwafrika yeyote kwa kutumia Uafrika wake, ujue umetusi bara lote, na itakua ujinga sana tukichekana, tutakua kama nyumbu wanaochekana pale mmoja wao amekamatwa na mamba ilhali anayecheka yumo humo kwenye mtoni huo wenye mamba.
leo umeonge la maana sana....
 
Back
Top Bottom