Mkaa unapoisha tunaona, kwanini gesi inapokuwa inaisha hatuwezi kuona mpaka tutingishe mtungi?

Mkaa unapoisha tunaona, kwanini gesi inapokuwa inaisha hatuwezi kuona mpaka tutingishe mtungi?

Ile ipo sealed haijaanza kutumika kabisa means tangu imejazwa haijawahi kutobolewa na kutumiwa. Ndio maana hairihusiwi kusafirisha mtungi wa gesi kwa usafiri wa uma kwa sababu ya uhatari wake.

NB. Wewe ni kilaza sana mkuu.
Yaani wewe utakuwa na mtindio WA ubongo kbs hivi kile ki sealed kinachowekwa juu ya mtungi ili mtu asje akautumia kisha akauza tena ndo kisababishe mtungi kuwa safe hata kama ukisafirishwa ni kweli kile ki sealed ni security ya mtungi kutolipuka?
Mbona kinanyofoka Tu unajua kwamba hapo zamani kidogo mitungi ilikuwa haiwekewi hiyo sealed na ilikuwa Inasafirishwa Tu hiyo sealed unajua kwamba serikali ndo iliamuru lengo likiwa ni kuzuia wauzaji wastumie na kuuza tena.
Ndani ya mtungi kwenye ule mdomo kina golori ambayo ukiibonyeza gesi inatoka ukiiachia au kama hujaunga burner Ile golori inafunga pale gesi haitoki.
Huu ujinga wako kadanganye familia yako tahadhari ya gesi IPO popote pale hivi unajua nchi zngne mtungi WA gas unatakiwa kujengewa nje huko yaani ni marufuku kukaa nao ndani. Sa unashangaa nn kutoruhusiwa kuusafirisha kwny usafiri WA umma.
Nimekuulza swali simple ww hujawahi letewa mtungi WA gas na bodaboda au hujawahi kuona imebebwa na boda au mtu anapohama hujawahi kuona imepakiwa toka sehemu moja kwenda nyingne au ukifka huko unakohamia unalipuka?
Mjinga mmoja ww eti ustikise gas itakulipukia si tungeshazka boda na watu kibao. Hapa unaleta hoja chuprichupri eti ambayo haina sealed ndo hailipuki ukimaanisha mtu ukishaanza tumia gas basi imeshakuwa hatari ukiitikisa unasahau watu Wana Hama nazo Kila Leo na hakuna ulipukaji mtu anasafiri na gas ndani ya Lori anahamia mkoa mwngn akifka huko anaendelea kutumia na hakuna lolote mpk inaisha.
Hapa ungesema gas ni kuwa nayo makini Sana maana linaweza tokea lolote ndo maana hurusiwi ipakia kwny bus japo watu wanapakia wakiwa wamezfunga kwny nguo au kiroba huwez jua kama ni gas.

Kuzunganka ww danganya watoto wako hapo tena hakikisha ni kale hata hakajui kuongea.
 
we Ni zero, Sasa hiyo inayosafirishwa si ipo sealed haijaanza kutumika bado, italipukaje?? Sasa wewe tikisa huo wa nyumbani dada,halafu washa kiberiti uchemshe huo mlenda,uhone mziki wake
Yaani kweli ww ni famba yaani mtungi ukitikiswa Tu kama ulikuwa umeshatumika basi unavuja eti hivi we Una akili kweli ww. Kama ungekuwa ndo hivyo bs uwenda watu wangekuwa wameacha kbs tumia gas na kama ungekuwa hivyo kwamba mtungi ambao umeshaanza utumia ukitikiswa Tu gas unavuja ukiwasha kiberiti Tu Moto unawaka chz ww si mitungi yote ungekuwa imewekewa caution ili kuhakikisha watumiaji wanalindwa unadhan waliotengeneza mitungi hiyo na kujaza gas ni vilaza mpk wasjue gas iliyotumika ikabaki ukitikiswa Tu ukiwasha kiberiti inarupuka.
Khs mrenda ndiyo mi nakupa Sana mrenda ukizngatia ni msingidan napenda sn mrenda kwahiyo haina shida we Kula nyama Sana maana unaamini ukila nyama ndo tajiri kumbe kapuku lofa.
 
Umasikini tu. Kuna Hivi vi regulator vina gauge reader kabisa unakua unajua kwamba mzigo umebaki kiasi gani.
View attachment 1887559
Hapo sasa, bongo maisha lazima yawe magumu, kulazimisha, hatutaki "simplicity" hata kidogo, wengine toka tumezaliwa tumeshuhudia umeme ukatika hovyo hovyo, kila siku maboresho ya TANESCO, kichwani sijuwi tuna akili au vumbi tu..
Maji ya DAWASA ndiyo usiseme, wanakata tu huku 85 to 90% ya miili yetu ni maji..
Haki, elimu, ustawi wa jamii, miundo mbinu yasua sua, hakuna cha kujali watembea miguu wala baiskeli...
Kazi bado ipo sana sana..
 
Yaani wewe utakuwa na mtindio WA ubongo kbs hivi kile ki sealed kinachowekwa juu ya mtungi ili mtu asje akautumia kisha akauza tena ndo kisababishe mtungi kuwa safe hata kama ukisafirishwa ni kweli kile ki sealed ni security ya mtungi kutolipuka?
Mbona kinanyofoka Tu unajua kwamba hapo zamani kidogo mitungi ilikuwa haiwekewi hiyo sealed na ilikuwa Inasafirishwa Tu hiyo sealed unajua kwamba serikali ndo iliamuru lengo likiwa ni kuzuia wauzaji wastumie na kuuza tena.
Ndani ya mtungi kwenye ule mdomo kina golori ambayo ukiibonyeza gesi inatoka ukiiachia au kama hujaunga burner Ile golori inafunga pale gesi haitoki.
Huu ujinga wako kadanganye familia yako tahadhari ya gesi IPO popote pale hivi unajua nchi zngne mtungi WA gas unatakiwa kujengewa nje huko yaani ni marufuku kukaa nao ndani. Sa unashangaa nn kutoruhusiwa kuusafirisha kwny usafiri WA umma.
Nimekuulza swali simple ww hujawahi letewa mtungi WA gas na bodaboda au hujawahi kuona imebebwa na boda au mtu anapohama hujawahi kuona imepakiwa toka sehemu moja kwenda nyingne au ukifka huko unakohamia unalipuka?
Mjinga mmoja ww eti ustikise gas itakulipukia si tungeshazka boda na watu kibao. Hapa unaleta hoja chuprichupri eti ambayo haina sealed ndo hailipuki ukimaanisha mtu ukishaanza tumia gas basi imeshakuwa hatari ukiitikisa unasahau watu Wana Hama nazo Kila Leo na hakuna ulipukaji mtu anasafiri na gas ndani ya Lori anahamia mkoa mwngn akifka huko anaendelea kutumia na hakuna lolote mpk inaisha.
Hapa ungesema gas ni kuwa nayo makini Sana maana linaweza tokea lolote ndo maana hurusiwi ipakia kwny bus japo watu wanapakia wakiwa wamezfunga kwny nguo au kiroba huwez jua kama ni gas.

Kuzunganka ww danganya watoto wako hapo tena hakikisha ni kale hata hakajui kuongea.
Aisee mzebaba umepanick kinoma, kejeli kama zote. Hapa nimethibitisha kua we ni hamnazo kabisaaa.

Iko hivo mkuu haishauriwi kutikisa mtungi ili kujua kiasi cha gesi kilichobaki unaweza kukuletea madhara. Na pia mkuu hiyo kusema watu wanasafiri nayo na haiwalipukii, haikuzuii wewe kuchukua tahadhari. Usiige chukua tahadhari kama wao wanafanya wewe usifanye kwa usalama wako.

Ushauri wa bure:
Unaweza kua na hoja lakini uwasilishaji wako ni wa hovyo mno, umekaa kifb fb sio kama member wa jf aisee. Jaribu kuwasilisha vizuri ueleweke mkuu.
 
Sawa mkuu nisamehe nilipokukwaza Kwa kauli zangu kuptia kuandka uwenda tozo znanivuruga. Bt site tumejfunza kupitia mvutano wetu
 
Ukiwa unatumia mkaa una uwezo wa kuona wakati mkaa unaishia na kuweza kukadiria kama huo mkaa uliobaki utakusogeza hadi siku gani lakini hali iko tofauti kidogo katika matumizi ya gesi.

Raha ya gesi ni pale tu unapobadirisha dukani kwa kununua gesi mpya mana hapo una uwezo wa kukaka hata wiki mbili bila kuutikisa ila baada ya muda tabu inarudi palapale ya kutikisa ili kujaribu kuhisi kwamba iliyobaki itakufikisha wapi.

Hivi hakuna namna ambayo wauza gezi wataweza kuweka vifaa ambavyo kadri gesi inavyopungua unaweza kuona bila kutikisa mtungi?
Usijetikisa tena mtungi utakuwa marehemu mtarajiwa ni hatari Sana.
Zipo njia za kufahamu kiasi kilichopo
 
Usitikishe mtungi ni hatari utalipuka.
Tumia njia ya maji unachukua maji kidogo unamwagia gas ilipoishia mchuruziko hauendelei

Zinapobebwa kwenye magari na kupita rough road zinatikisika mbona hazilipuki
 
Kama kutikisa mtungi WA gas ni hatari Sana he inaposafirishwa imejazana kwenye magari toka mkoa mmoja kwenda mwngn na ikiwa ina gas mbona sjawahi skia imelipuka unadhan watengenezaji WA mitungu hiyo ni wajinga wasjue kwamba mitungi Yao ikitikiswa Tu hulipuka mpk wastoe tahadhari wakati Kila Leo boda wanakimbia nayo kwny mitaa humu na hakuna mlipuko Acha uwongo ww mdemkaji

Na mim nashangaa amekujibu
 
Usijetikisa tena mtungi utakuwa marehemu mtarajiwa ni hatari Sana.
Zipo njia za kufahamu kiasi kilichopo
“The LPG (Liquified Petroleum Gas) working pressure is normally 8 bars but the cylinder can withstand up to 30 bars of pressure so explosion due to shaking is near impossible. One of the properties of LPG is that it is very cold hence causing cold burns,” Mr Muhiah told PesaCheck via email.

Back
Top Bottom