Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Sep 23, 2024 #1 Najua mpo ingawa wachache. Mkaka alie na mwanamke mmoja tu aje kutufanyia sala ya kubariki sikuyetu na wiki nzima inayoanza leo.
Najua mpo ingawa wachache. Mkaka alie na mwanamke mmoja tu aje kutufanyia sala ya kubariki sikuyetu na wiki nzima inayoanza leo.
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Sep 23, 2024 #2 Eeeh Mungu baba,mkuu wa mbingu na ardhi naomba uibariki siku yetuya leo iwe nzuri na yenye mafanikio. Amina.
Eeeh Mungu baba,mkuu wa mbingu na ardhi naomba uibariki siku yetuya leo iwe nzuri na yenye mafanikio. Amina.
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Sep 23, 2024 #3 Mungu baba watazame viumbe hawa wenye changamoto za kila namna wasaidie kutimiza makusudi mema yaliyo ndani ya mioyo yao bariki mazingira yao ya utafutaji waepushe na kila lililo baya. Amina
Mungu baba watazame viumbe hawa wenye changamoto za kila namna wasaidie kutimiza makusudi mema yaliyo ndani ya mioyo yao bariki mazingira yao ya utafutaji waepushe na kila lililo baya. Amina