Mkaka alie na mwanamke mmoja aje kutufanyia sala tuanze wiki na baraka

Mkaka alie na mwanamke mmoja aje kutufanyia sala tuanze wiki na baraka

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Najua mpo ingawa wachache. Mkaka alie na mwanamke mmoja tu aje kutufanyia sala ya kubariki sikuyetu na wiki nzima inayoanza leo.
 
Eeeh Mungu baba,mkuu wa mbingu na ardhi naomba uibariki siku yetuya leo iwe nzuri na yenye mafanikio. Amina.
 
Mungu baba watazame viumbe hawa wenye changamoto za kila namna wasaidie kutimiza makusudi mema yaliyo ndani ya mioyo yao bariki mazingira yao ya utafutaji waepushe na kila lililo baya.

Amina
 
Back
Top Bottom