Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Hii mbinu ya kujitangaza nzuri. Kuna watu wanaenda kupigwa na kitu kizito hapa.
 

Kwann usingeniandikia msg unitumie kuliko kuja kunivua nguo huku.
Hata ivo nimeoa nilitaka nikufanye sidechick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…