OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kuna wakati bro alikuwa na mkakati wa kuokoka ili apate sifa za kugombea urais.
Ikumbukwe kwamba CCM kuna utamaduni usio rasmi, kwamba awamu hii rais akiwa mkristo basi awamu ijayo ni muislamu. Sasa baada ya Samia kuingia ikaonekana itakuwa ngumu 2030 kuingia Rais muislamu tena. Ndio hapo alipokuja na mkakati wa yeye kuokoka ili awe na added advantage.
Hii mada haina umuhimu wowote, Ila ni kutaka kujua tu kutoka kwa unayejua