Mkakati wa J.Makamba kuokoka ili agombee urais uliishia wapi?

Mkakati wa J.Makamba kuokoka ili agombee urais uliishia wapi?

watanzagiza ni waajabu na wanafiki sana, wanajifanya usiku kucha kupinga ushoga lkn ndiyo wako obsessed na ufirauni klk race yoyote ile dunia hii ukiondoa waaraabu, wanaume wa tanzagiza na waarabu maongezi yao, matusi yao yametawaliwa na mambo ya ufirauni tu kwenye culture nyingine wanaume wanaongelea ufirauni ni wale gay community tu lkn huwezi sikia kwa mfano mchina ambaye siyo gay akiongelea mambo ya ufirauni, ni ma gay tu ndiyo huongelea mambo ya ufirauni which makes sense …
pole kaka acha ushogaaaa.
lazima niseme bichwa komwe nishogaaaa
 
Tamaa,kutojiamini.hawana sifa[ya kuzaliwa]kuwa viongozi,wabinafsi,wana roho mbaya/katili,wana asili ya unafiki [vigeugeu], hawana uzalendo.
Huu nao ni ugonjwa wako/wenu...

Kwenu...

1)Mwinyi ni hivyohivyo
2)Mkapa " " """
3)Kikwete......
4)JPM......

Ni maradhi makubwa hayo.....
 
Lakini nchi hii mitandao inachanganya watu sana.Mwezi uliopita nilikutana naye Msikitini Msasani ,ule Msikiti uliopo Pembeni mwa Bahari wakati wa sala ya Ijiumaa..Basi atakuwa na dini nyingi anazozitumikia.
 
Lakini nchi hii mitandao inachanganya watu sana.Mwezi uliopita nilikutana naye Msikitini Msasani ,ule Msikiti uliopo Pembeni mwa Bahari wakati wa sala ya Ijiumaa..Basi atakuwa na dini nyingi anazozitumikia.
Imani hukaa mioyoni...

Siamini kila anayejiita mkristo na kuonekana kanisani ni kweli hivyo na si kila muislam na kuonekana muislam ndani ya moyo ni hivyo....

Hebu tupende kufikiri nje ya box....

Hatumpeleki Rais ikulu kwa kuwa ana SIJDA PAJINI ama anavaa ROZARI na kumpokea BWANA ....

#Nchi Kwanza[emoji7]
 
Huu nao ni ugonjwa wako/wenu...

Kwenu...

1)Mwinyi ni hivyohivyo
2)Mkapa " " """
3)Kikwete......
4)JPM......

Ni maradhi makubwa hayo.....
1]Mz.Mwinyi-alikuwa na hekima,,aliifungua nchi kwa vitendo kutoka kwenye kifungo cha Nyerere,,hakufanya uharibifu wa kihistoria kama huyu mama .
2]Mz.Mkapa-Mzalendo aliyeinua uchumi wa nchi na kuitambulisha thamani ya shilingi duniani,sambamba na kidhibiti mifumuko ya bei ili watu wake wasitaabike.
3]Mz.Kikwete-hakuwa na tofauti na huyu mama ;
-->tamaa,ufisadi uliokithiri,.wizi wa wazi wazi pamoja na kulindana kwa maovu yao,Kuteka,kutesa/kuua wanao wakosoa,ubinafsi na kukosa uzalendo,kukiuka katiba/sheria kwa maslahi yao,,hakuwa na sifa asili ya NI MTAWALA,ILA SIO KIONGOZI/[Kama huyu mama].
4]JP.Magufuli[Rais wa Watanzania]
-->kiongozi mwenye asili ya kuzaliwa kuongoza,, MZALENDO wa kweli na muadilifu,mwenye maono ya mbali kwa Taifa na watu wake, mwenye uthubutu na maamuzi ya kiuongozi,,hakuwa mnafiki na hakumuogopa mtu,hakulea wezi/mafisadi.
Ni kati ya viongozi wachache na hodari kuwahi kutokea Africa [ni aina ya Gaddafi]. HUYU NDIYE RAIS ALIYEHITAJIKA TANZANIA.
 
Kuna wakati bro alikuwa na mkakati wa kuokoka ili apate sifa za kugombea urais.

Ikumbukwe kwamba CCM kuna utamaduni usio rasmi, kwamba awamu hii rais akiwa mkristo basi awamu ijayo ni muislamu. Sasa baada ya Samia kuingia ikaonekana itakuwa ngumu 2030 kuingia Rais muislamu tena. Ndio hapo alipokuja na mkakati wa yeye kuokoka ili awe na added advantage.

Hii mada haina umuhimu wowote, Ila ni kutaka kujua tu kutoka kwa unayejua
20240830_100523.jpg


KESHO SAA 11 ALFAJIRI TUNAKUOMBA UREPORT CENTRAL SIMU YAKO IACHE GHETTONI KWAK NJOO WEWE KAMA WEWE
 
Mlokole hawezi kuwa raisi wa hii Jamhuri. Kama dini ni kigezo basi jua uimara wa dhehebu husika ni muhimu zaidi hapo.

Track ya CCM MBELE KWA MBELE by Capt. Komba na TOT isindikize uzi.

Dj, plee dat ting
 
Kwani wakatoliki wana haki miliki na urais wa nchi hii ?
Mkuu,Rumi [Vatican] ndiyo inayotawala dunia [mataifa yote ulimwenguni]kisiasa na kiuchumi,bila kujali nchi ni ya kidini/kipagani,,Papa [Pope] ndiye mwenye kiti wa umoja wa mataifa [UN]
Marekani ni mshirika tu aliyeshikilia sehemu ya uchumi [USD].
 
Back
Top Bottom