Mkakati wa J.Makamba kuokoka ili agombee urais uliishia wapi?

Mkakati wa J.Makamba kuokoka ili agombee urais uliishia wapi?

Kuna wakati bro alikuwa na mkakati wa kuokoka ili apate sifa za kugombea urais.

Ikumbukwe kwamba CCM kuna utamaduni usio rasmi, kwamba awamu hii rais akiwa mkristo basi awamu ijayo ni muislamu. Sasa baada ya Samia kuingia ikaonekana itakuwa ngumu 2030 kuingia Rais muislamu tena. Ndio hapo alipokuja na mkakati wa yeye kuokoka ili awe na added advantage.

Hii mada haina umuhimu wowote, Ila ni kutaka kujua tu kutoka kwa unayejua
Bwashee umesahau, hii ni awamu ya mkiristo, mama anamalizia tu, kwa mujibu wa sheria,
2030 muislamu ndio ataanza sasa
 
Kila siku anavizia kitoweo na hajawahi kipata......

Akiona wanyama anasema huyu mama nitampika, baba nitamkaanga na shemeji nitamchoma.

Hapati cha baba wala housegirl
images.jpeg
 
Kuna wakati bro alikuwa na mkakati wa kuokoka ili apate sifa za kugombea urais.

Ikumbukwe kwamba CCM kuna utamaduni usio rasmi, kwamba awamu hii rais akiwa mkristo basi awamu ijayo ni muislamu. Sasa baada ya Samia kuingia ikaonekana itakuwa ngumu 2030 kuingia Rais muislamu tena. Ndio hapo alipokuja na mkakati wa yeye kuokoka ili awe na added advantage.

Hii mada haina umuhimu wowote, Ila ni kutaka kujua tu kutoka kwa unayejua
January ni Mluteli kitambo tu
 
Yule Wala Hana shida na Wala Hana
Hata aokoke vipi, tutamtegua kiuno awe chiba.

Mwache afurukute tu. Hii nchi sio milki ya MATAPELI.

Haiwezekani TAPELI awe Rais wa nchi, akithubutu ntavaa magwanda na mabuti nikamnyofoe huko ikulu kwa mikono yangu miwili bila usaidizi wa GESHI RA PORISHI.
Neno, wanamfanyia figisu sababu ya uwezo wake tuu na sio vinginevyo. Wala Hana maneno na mtu, na sio mwizi. Msomi yule
 
marinda yenyewe huna wahuni washaayala utaweza kumtoa mtu ikulu?

wee firw tuu ndio fani yako

watanzagiza ni waajabu na wanafiki sana, wanajifanya usiku kucha kupinga ushoga lkn ndiyo wako obsessed na ufirauni klk race yoyote ile dunia hii ukiondoa waaraabu, wanaume wa tanzagiza na waarabu maongezi yao, matusi yao yametawaliwa na mambo ya ufirauni tu kwenye culture nyingine wanaume wanaongelea ufirauni ni wale gay community tu lkn huwezi sikia kwa mfano mchina ambaye siyo gay akiongelea mambo ya ufirauni, ni ma gay tu ndiyo huongelea mambo ya ufirauni which makes sense …
 
Kuna wakati bro alikuwa na mkakati wa kuokoka ili apate sifa za kugombea urais...
Alikwambia mwenyewe,au mliamua kuzusha tu kisha kuabudu uzushi wenu!?

Kama angetaka kubadili dini Ili agombee kea nini isingekua ukatoliki?

Maana walokole hawana nguvu yoyote
 
Back
Top Bottom