Mkakati wa J.Makamba kuokoka ili agombee urais uliishia wapi?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kuna wakati bro alikuwa na mkakati wa kuokoka ili apate sifa za kugombea urais.

Ikumbukwe kwamba CCM kuna utamaduni usio rasmi, kwamba awamu hii rais akiwa mkristo basi awamu ijayo ni muislamu. Sasa baada ya Samia kuingia ikaonekana itakuwa ngumu 2030 kuingia Rais muislamu tena. Ndio hapo alipokuja na mkakati wa yeye kuokoka ili awe na added advantage.

Hii mada haina umuhimu wowote, Ila ni kutaka kujua tu kutoka kwa unayejua
 
Natamani Makamba agombee,huyu mama hakuna kitu
 
Ungetukumbusha na kanisa japo halina umuhimu wowote!
 
Hata aokoke vipi, tutamtegua kiuno awe chiba.

Mwache afurukute tu. Hii nchi sio milki ya MATAPELI.

Haiwezekani TAPELI awe Rais wa nchi, akithubutu ntavaa magwanda na mabuti nikamnyofoe huko ikulu kwa mikono yangu miwili bila usaidizi wa GESHI RA PORISHI.
 
Maisha hayaa...

Imenikumbusha yule mgombea urais wa Argentina mwenye asili ya kiarabu....

Mababu zake wa mbali walihamia huko miaka mingi mno....

WALIKUWA WAISLAMU...naye alikuwa ni muislam...

Mh.huyu akaamua kubadilisha DINI na kuwa mfuasi wa kanisa katoliki kwani UTARATIBU WA NCHI YAO NI HUO wa taasisi hiyo.....

Sijajua tu baada ya kushinda na kumaliza UONGOZI WAKE ALIRUDIA tena kuwa MUISLAM ama sasa ni MBUDDHA [emoji1787][emoji1787]

#Ya mtaka cha uvunguni[emoji1787]
 
🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…