mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Bwashee umesahau, hii ni awamu ya mkiristo, mama anamalizia tu, kwa mujibu wa sheria,Kuna wakati bro alikuwa na mkakati wa kuokoka ili apate sifa za kugombea urais.
Ikumbukwe kwamba CCM kuna utamaduni usio rasmi, kwamba awamu hii rais akiwa mkristo basi awamu ijayo ni muislamu. Sasa baada ya Samia kuingia ikaonekana itakuwa ngumu 2030 kuingia Rais muislamu tena. Ndio hapo alipokuja na mkakati wa yeye kuokoka ili awe na added advantage.
Hii mada haina umuhimu wowote, Ila ni kutaka kujua tu kutoka kwa unayejua
Kila siku anavizia kitoweo na hajawahi kipata......Comred Kipepeπππ
Kila siku anavizia kitoweo na hajawahi kipata......
Akiona wanyama anasema huyu mama nitampika, baba nitamkaanga na shemeji nitamchoma.
Hapati cha baba wala housegirl
January ni Mluteli kitambo tuKuna wakati bro alikuwa na mkakati wa kuokoka ili apate sifa za kugombea urais.
Ikumbukwe kwamba CCM kuna utamaduni usio rasmi, kwamba awamu hii rais akiwa mkristo basi awamu ijayo ni muislamu. Sasa baada ya Samia kuingia ikaonekana itakuwa ngumu 2030 kuingia Rais muislamu tena. Ndio hapo alipokuja na mkakati wa yeye kuokoka ili awe na added advantage.
Hii mada haina umuhimu wowote, Ila ni kutaka kujua tu kutoka kwa unayejua
Neno, wanamfanyia figisu sababu ya uwezo wake tuu na sio vinginevyo. Wala Hana maneno na mtu, na sio mwizi. Msomi yuleHata aokoke vipi, tutamtegua kiuno awe chiba.
Mwache afurukute tu. Hii nchi sio milki ya MATAPELI.
Haiwezekani TAPELI awe Rais wa nchi, akithubutu ntavaa magwanda na mabuti nikamnyofoe huko ikulu kwa mikono yangu miwili bila usaidizi wa GESHI RA PORISHI.
Akatambike upya
Jiwe yupo motoni anatesekaSamia anatosha.
Kwenye madrasa ndio mnaambiana hivyo?Bwashee umesahau, hii ni awamu ya mkiristo, mama anamalizia tu, kwa mujibu wa sheria,
2030 muislamu ndio ataanza sasa
Huo ndio ukweliKwenye madrasa ndio mnaambiana hivyo?
Kwa hiyo 2025-2030 hakutakuwa na rais?Bwashee umesahau, hii ni awamu ya mkiristo, mama anamalizia tu, kwa mujibu wa sheria,
2030 muislamu ndio ataanza sasa
Atawepo, ni mama, si nimesema hapo kwa mujibu wa sheria?Kwa hiyo 2025-2030 hakutakuwa na rais?
Hawa wote ni mizigo kwa Taifa, hakuna anayefaa/kustahili.Natamani Makamba agombee,huyu mama hakuna kitu
Unanionea bure tu,kila mtu anamuita Mama,mimi nimekosea wapi?Ni Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu siyo 'huyu mama!' Haipendezi lugha yako.πππ
Hakuna,wana sifa zinazo fanana.π€·π€·Kipi alichonacho mh.January ambacho mh.Rais SSH amekikosa ?!! [emoji44][emoji44][emoji44]
marinda yenyewe huna wahuni washaayala utaweza kumtoa mtu ikulu?
wee firw tuu ndio fani yako
Zipi hizo ?Hakuna,wana sifa zinazo fanana.[emoji1745][emoji1745]
Tamaa,kutojiamini.hawana sifa[ya kuzaliwa]kuwa viongozi,wabinafsi,wana roho mbaya/katili,wana asili ya unafiki [vigeugeu], hawana uzalendo.Zipi hizo ?
Alikwambia mwenyewe,au mliamua kuzusha tu kisha kuabudu uzushi wenu!?Kuna wakati bro alikuwa na mkakati wa kuokoka ili apate sifa za kugombea urais...