Mkakati wa J.Makamba kuokoka ili agombee urais uliishia wapi?

pole kaka acha ushogaaaa.
lazima niseme bichwa komwe nishogaaaa
 
Tamaa,kutojiamini.hawana sifa[ya kuzaliwa]kuwa viongozi,wabinafsi,wana roho mbaya/katili,wana asili ya unafiki [vigeugeu], hawana uzalendo.
Huu nao ni ugonjwa wako/wenu...

Kwenu...

1)Mwinyi ni hivyohivyo
2)Mkapa " " """
3)Kikwete......
4)JPM......

Ni maradhi makubwa hayo.....
 
Lakini nchi hii mitandao inachanganya watu sana.Mwezi uliopita nilikutana naye Msikitini Msasani ,ule Msikiti uliopo Pembeni mwa Bahari wakati wa sala ya Ijiumaa..Basi atakuwa na dini nyingi anazozitumikia.
 
Lakini nchi hii mitandao inachanganya watu sana.Mwezi uliopita nilikutana naye Msikitini Msasani ,ule Msikiti uliopo Pembeni mwa Bahari wakati wa sala ya Ijiumaa..Basi atakuwa na dini nyingi anazozitumikia.
Imani hukaa mioyoni...

Siamini kila anayejiita mkristo na kuonekana kanisani ni kweli hivyo na si kila muislam na kuonekana muislam ndani ya moyo ni hivyo....

Hebu tupende kufikiri nje ya box....

Hatumpeleki Rais ikulu kwa kuwa ana SIJDA PAJINI ama anavaa ROZARI na kumpokea BWANA ....

#Nchi Kwanza[emoji7]
 
Huu nao ni ugonjwa wako/wenu...

Kwenu...

1)Mwinyi ni hivyohivyo
2)Mkapa " " """
3)Kikwete......
4)JPM......

Ni maradhi makubwa hayo.....
1]Mz.Mwinyi-alikuwa na hekima,,aliifungua nchi kwa vitendo kutoka kwenye kifungo cha Nyerere,,hakufanya uharibifu wa kihistoria kama huyu mama .
2]Mz.Mkapa-Mzalendo aliyeinua uchumi wa nchi na kuitambulisha thamani ya shilingi duniani,sambamba na kidhibiti mifumuko ya bei ili watu wake wasitaabike.
3]Mz.Kikwete-hakuwa na tofauti na huyu mama ;
-->tamaa,ufisadi uliokithiri,.wizi wa wazi wazi pamoja na kulindana kwa maovu yao,Kuteka,kutesa/kuua wanao wakosoa,ubinafsi na kukosa uzalendo,kukiuka katiba/sheria kwa maslahi yao,,hakuwa na sifa asili ya NI MTAWALA,ILA SIO KIONGOZI/[Kama huyu mama].
4]JP.Magufuli[Rais wa Watanzania]
-->kiongozi mwenye asili ya kuzaliwa kuongoza,, MZALENDO wa kweli na muadilifu,mwenye maono ya mbali kwa Taifa na watu wake, mwenye uthubutu na maamuzi ya kiuongozi,,hakuwa mnafiki na hakumuogopa mtu,hakulea wezi/mafisadi.
Ni kati ya viongozi wachache na hodari kuwahi kutokea Africa [ni aina ya Gaddafi]. HUYU NDIYE RAIS ALIYEHITAJIKA TANZANIA.
 


KESHO SAA 11 ALFAJIRI TUNAKUOMBA UREPORT CENTRAL SIMU YAKO IACHE GHETTONI KWAK NJOO WEWE KAMA WEWE
 
Mlokole hawezi kuwa raisi wa hii Jamhuri. Kama dini ni kigezo basi jua uimara wa dhehebu husika ni muhimu zaidi hapo.

Track ya CCM MBELE KWA MBELE by Capt. Komba na TOT isindikize uzi.

Dj, plee dat ting
 
Kwani wakatoliki wana haki miliki na urais wa nchi hii ?
Mkuu,Rumi [Vatican] ndiyo inayotawala dunia [mataifa yote ulimwenguni]kisiasa na kiuchumi,bila kujali nchi ni ya kidini/kipagani,,Papa [Pope] ndiye mwenye kiti wa umoja wa mataifa [UN]
Marekani ni mshirika tu aliyeshikilia sehemu ya uchumi [USD].
 
Unanionea bure tu,kila mtu anamuita Mama,mimi nimekosea wapi?
Umemuita 'mama kutweza' siyo kwa heshima. Nikweli ni mama ila unamwitaje ktk mazingira gani? Siku njema ndugu yangu.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…