Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Watakuwa wametukanwa na Mkulu Kama Yule RC wa A Town "pumba****"
 
Kwani lumumba toka lini wakawa na akili zaidi ya ubongo wa panzi,unahonga ili kurudia uchaguzi kwa mabillioni hku mshindi akiwa anajulikana,upinzani usipeleke mgombea wagombee ccm na vyama vya msimu
 
Nakuaminia.
 
Still tuna safari ndefu kuiona na kuifikia demokrasia ya kweli.
Wanasiasa wamejawa na ujanjaujanja tu.
 
wewe kama hii ishu ina baraka za mkulu, mishe haiwezi kubuma
 
Kama JPM anataka kumteuwa PCM kuwa waziri, hashindwi kumteuwa kuwa mbunge!
 
Lakini kujiamini Sana nayo ni akili sio
 
Chadema imesheheni vipaji kuna watunga movie kumbe pia wapo wa hekaya za abunuasi kama wewe mwombeni msajiri mwite chadema art and acrobatic
 
Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr

Ejoooo tufwileeeeeee Bashite awe PM?

Mbombongafu na mtufunde!
 
Hawa watu mwisho wa siku utasikia tumeibiwa kura. Nguvu mnayotumia kupambana na huyo Paulo ni kubwa mno kiasi mngewekeza kujenga chama mgefika mbali sana.
 
Chadema imesheheni vipaji kuna watunga movie kumbe pia wapo wa hekaya za abunuasi kama wewe mwombeni msajiri mwite chadema art and acrobatic
Ingekuwa nchi huru ya kufuatilia sheria wangevamia ACCTS za Mtulila na kuna kitu kingeonekana sio cha kawaida na kingejulikana kimetokea wapi
 
Kubadili jina inamhitaji mtu kuapa tu mahakamani.. Sasa hilo pingamizi sijui litawekwa vipi wakati kutakuwepo na hati ya kiapo inayothibitisha ubadiliko wa jina!
La kwake anaweza kuapa sio la baba yake!
Mbaya zaidi mpaka babu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…