Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lumumba toka lini wakawa na akili zaidi ya ubongo wa panzi,unahonga ili kurudia uchaguzi kwa mabillioni hku mshindi akiwa anajulikana,upinzani usipeleke mgombea wagombee ccm na vyama vya msimuWakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Haha ha ha hizo mahakama za chadema au?
Unajua wewe mwenyeweTatizo atatumia jina gani?
Nakuaminia.Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Basi wakuweke wewe
Kijana katiba inataka mbunge ajue kusoma na kuandika tu sio kuwa na vyeti
Maisha yake yote.Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Lakini kujiamini Sana nayo ni akili sioWakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Chadema imesheheni vipaji kuna watunga movie kumbe pia wapo wa hekaya za abunuasi kama wewe mwombeni msajiri mwite chadema art and acrobaticWakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Magu akipanga hakuna wa kupangua.
Hata hapo mahakamani itapanguliwa.
Ingekuwa nchi huru ya kufuatilia sheria wangevamia ACCTS za Mtulila na kuna kitu kingeonekana sio cha kawaida na kingejulikana kimetokea wapiChadema imesheheni vipaji kuna watunga movie kumbe pia wapo wa hekaya za abunuasi kama wewe mwombeni msajiri mwite chadema art and acrobatic
La kwake anaweza kuapa sio la baba yake!Kubadili jina inamhitaji mtu kuapa tu mahakamani.. Sasa hilo pingamizi sijui litawekwa vipi wakati kutakuwepo na hati ya kiapo inayothibitisha ubadiliko wa jina!