Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Maovu yake yana Baraka za Babake.usifikiri nayy ni mjinga kiasi hicho.
 
Bashite alisomea nini chuo kikuu?
Wenzake waliosoma nae kwa hilo jina hawaoni fursa ya utajiri kwake?

Lait ningelikua nimesoma nae kwa nyakti hizo anatumia jina halisi siku nyingi nishakua mkuu wa wilaya
 
Eti serikali ya JPM inapiga kazi tuu! Kazi ndio kama zile za Hosteli za UDSM ambazo leo zina nyufa hatari za kuweza kuangusha majengo? Hata mwaka bado majengo yanataka kuhatarisha maisha ya wenetu? Mnachofanya ni kutafuta kiki zisizo na maana. Mliyafungua majengo kwa mbwembwe kubwa na kualika wasanii wenzenu na kufanya lisherehe kumbe mnakabidhi mabomu ya majengo? Hamtaki kuambiwa ukweli kwa vile mumezoea uongo
 
Kuna wabumge wa kuteuliwa kama hilo lipo ni rahisi tu rais kutengua uteuzi wa mbunge mmoja kama ilivyo kuwa kwa possi na kumpa huyo amtakaye wala hakuna cha kuumiza kichwa hapo , na hapo ni madhara ya kuwakabidhi nchi ma************
 
Na hapo ndio alipojiharibia Magu kwenye hii vita ya rushwa. Akijitapa kuwa anachukia rushwa watu wanamuona kituko
Mkuu tena ni kituko sabb PCCB inaonekana kama mbwa koko asiye na meno. MLOWOLA hana uwezo hata wa kupanua mdomo sabb akifanya hivyo kesho kibarua hana
 
hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.


Kwani tunayo precedent ya pingamizi lolote ambalo mtu wa CCM alishind NEC halafu mahakama ikatengua uamuzi wa NEC?
 
Hakuna uwezekano wowote kiuhalisia na kiutungaji wa story yako wa kumpitisha Makonda kugombea ubunge.

Serikali inatambua watu wenye akili kama zako mleta mada hivyo si rahisi kufanya hata kutamani kufanya hayo yaliyopo katika utunzi wako.

Bado atabaki kuwa mkuu wa jiji.
 
Hyo sio shida Sana.... Mana sifa ya kujua kusoma na kuandika tu inakupa ubunge......
 
Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr

Waziri mkuu lazima awe ni mbunge wa kuchaguliwa. Acha ummbumbumbu soma katiba inara ya 51(2).
 
Tukisema sana tunaonekana wabaya haya sasa mchezo ni ule ule kama barabara zilivyojengwa chini ya kiwango. Na hii imechanika kwenye Column kazi ipo dadadadek!
 
Sifa ilishapukutika siku nyingi richaabra ndiyo sababu sasa ni rushwa mbele kwa mbele, kuteka na kutesa, mapanga, visu, marungu na mitutu ya bunduki.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…