Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maovu yake yana Baraka za Babake.usifikiri nayy ni mjinga kiasi hicho.Katika vitu ambavyo vinamshushia hadhi na heshima aliyojijengea jpm katika wizara mbalimbali kabla ya kuwa rais ni kuendelea kumbeba mgongoni bashite angali anayembeba habebeki
Jpm anatakiwa aangalie sana jinsi sifa yake inavyozidi kushuka kutokana na maovu ya bashite
Eti serikali ya JPM inapiga kazi tuu! Kazi ndio kama zile za Hosteli za UDSM ambazo leo zina nyufa hatari za kuweza kuangusha majengo? Hata mwaka bado majengo yanataka kuhatarisha maisha ya wenetu? Mnachofanya ni kutafuta kiki zisizo na maana. Mliyafungua majengo kwa mbwembwe kubwa na kualika wasanii wenzenu na kufanya lisherehe kumbe mnakabidhi mabomu ya majengo? Hamtaki kuambiwa ukweli kwa vile mumezoea uongoCHADEMA lini mtaacha Michezo hii ya kitoto?
Utata wa jina la Paul Makonda mmeshindwa hata kwenda mahakamani, zaidi ya kutumia pesa nyingi kulipa mamluki mitandaoni. mmepiga kelele nyingi hadi mnatia huruma. Kama issue ya kufoji cheti Kama mnavyosema imewashinda kipi mtaweza? Serikali ya JPM sasa hivi inapiga kazi tuu ngonjera za utabiri Kama huu wamewaachia nyie wanasiasa uchwara, mnaofikiri siasa inaendeshwa kwa udaku na umbeya!
Hivi CCM wakiamua kulipa mamluki wa kupiga longolongo mitandaoni Kama nyie hamuoni ndiyo itakuwa kiama chenu? Ukizingatia makubwa waliyonayo ya kuwanadi bila mipaka!
Kuna wabumge wa kuteuliwa kama hilo lipo ni rahisi tu rais kutengua uteuzi wa mbunge mmoja kama ilivyo kuwa kwa possi na kumpa huyo amtakaye wala hakuna cha kuumiza kichwa hapo , na hapo ni madhara ya kuwakabidhi nchi ma************Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Mkuu tena ni kituko sabb PCCB inaonekana kama mbwa koko asiye na meno. MLOWOLA hana uwezo hata wa kupanua mdomo sabb akifanya hivyo kesho kibarua hanaNa hapo ndio alipojiharibia Magu kwenye hii vita ya rushwa. Akijitapa kuwa anachukia rushwa watu wanamuona kituko
hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Eti serikali ya JPM inapiga kazi tuu! Kazi ndio kama zile za Hosteli za UDSM ambazo leo zina nyufa hatari za kuweza kuangusha majengo? Hata mwaka bado majengo yanataka kuhatarisha maisha ya wenetu? Mnachofanya ni kutafuta kiki zisizo na maana. Mliyafungua majengo kwa mbwembwe kubwa na kualika wasanii wenzenu na kufanya lisherehe kumbe mnakabidhi mabomu ya majengo? Hamtaki kuambiwa ukweli kwa vile mumezoea uongo
Mkuu wa mambo yote Nchini
Punguza hasira, mchezo huu hauhitaji hasiraHovyoo
Katika vitu ambavyo vinamshushia hadhi na heshima aliyojijengea jpm katika wizara mbalimbali kabla ya kuwa rais ni kuendelea kumbeba mgongoni bashite angali anayembeba habebeki
Jpm anatakiwa aangalie sana jinsi sifa yake inavyozidi kushuka kutokana na maovu ya bashite