Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Njia iliyotumika kumpa uwaziri Mkumbo nadhani ni rahisi zaidi kuliko kugombea jimbo. Km lengo ni Paulo kuwa waziri basi angeteuliwa kuwa mbunge then akachukua wizara kirahisi tu
 
Duu watu wanaona Mbali kwa hiyo Msando ndiyo angepewa ukuu wa Mkoa au.... Aisee people at work
 
Bashite anachokitoa kwa baba yake hajawahi kukifahamu mbona anakuwa mwehu kwa ajili ya kijana asiyekuwa na nidhamu hana sudi anachukiwa anaujinga mwingi mwongo hadi anachosha huyu mzee analamba nini kwa bashite
 
Maovu yapi hayo wewe ndezi?
 
Hahaha nimependa hapo "mzee kachukia sana,na sio ajabu kuna watu wata tumbuliwa" yani pogba saivi kila mtz anajua akili zake
 
Uzuri ishu zinazomuhusu Bashite huwa hazikamiliki.
Na hili kubuma sio ajabu maana wanaopanga hizi mission ni mazero brain tu.
 
nje ya mada lumumba fc
 
Usihofu utawekwa wewe Kamanda. Ila poleni sana kwa msiba mzito wa Kamanda Mbwa
Angekufa mwanadamu mwenzio ungekejeli kama unavyofanya sasa. Ulaaniwe wewe na kizazi chako.
 
Katika vitu ambavyo vinamshushia hadhi na heshima aliyojijengea jpm katika wizara mbalimbali kabla ya kuwa rais ni kuendelea kumbeba mgongoni bashite angali anayembeba habebeki

Ana hadhi gani huyo Bandido? Sehemu zote alizopita ni vimeo tu! Ashukuru tu watanzania wengi ni zombies! La sivyo angekuwa jela sasa hivi, na siyo Ikulu.
 

Chifu, unafikiri mataifa ya nje yanajali? Sasa hivi Ulaya na Marekani ni mitifuano tu! Right wing parties na watu wenye mirengo ya kinazi na kinationalist wanazidi kuongezeka! Pia tatizo la uhamiaji na wahamiaji linawatesa. Watapata saa ngapi muda wa kufikiria shida za watanzania?

Bakuli mbona limeshapunguzwa sana!

Yaani sasa kinachopaswa kufanyika ni sisi wenyewe raia kuanzisha vuguvugu! Jambo ambalo kwa kweli watanzania tumezidi! Yaani hata waoga wazimbabwe wametushinda!!
 
Mbunge hahitaji cheti muhimu awe anajua kusoma na kuandika tu rejea katiba yetu isipokuwa dereva wake lazima awe amefaulu kidato cha nne
 

ndio maana mnaambiwa hamna la kusema!! unajifariji na hivi viuzushi

Makonda anaweza kuwa waziri hata kesho, swala la mbunge wa kuteuliwa kujiuzulu linawezekana kisha akateuliwa yeye na kupewa wizara
 
Makonda anaweza kuwa waziri hata kesho, swala la mbunge wa kuteuliwa kujiuzulu linawezekana kisha akateuliwa yeye na kupewa wizara

Kwa hiyo chifu, nawe hauna shaka na uhalali wa Daudi Bashite alias Paul Makonda kuja kuteuliwa na kupewa wizara?
 
Kuna mtu alipiga RAMLI kama wewe kwenye uzi fulani...yeye hakutumia neno wizara muhimu kama wewe, yeye alisema wizara nyeti.

sasa wewe umejaribu kuitetea ramli yako kwa kusingizia ni habari kutoka kwa vigogo wawili.....

"TANZANIA BADO TUNA SAFARI NDEFU"
 
Watu wengine mnashangaza sana. Wewe ni member tokea 2009 na unajuwa matukio mengi tumepashana hapa JF kwa mtindo huu wa mapema na yanatokea kabla wa nje ya jf hawajajua sie tayari. Lakini lijapo jambo la DAB siku hizi mnaita ramli na likitokea hamuombi radhi kwa kuliita ramli.
Mmelishwa nini na hawa watu wawili sasa hivi kiasi kuwa kila kinacho wahusu kama wamekosea lazima mtapinga tuu bali utetezi ndio kazi yenu? (Tetesi) haipingwi ila kama huiamini ipite tuu usubiri matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…