Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu watu wanaona Mbali kwa hiyo Msando ndiyo angepewa ukuu wa Mkoa au.... Aisee people at workWakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Maovu yapi hayo wewe ndezi?Katika vitu ambavyo vinamshushia hadhi na heshima aliyojijengea jpm katika wizara mbalimbali kabla ya kuwa rais ni kuendelea kumbeba mgongoni bashite angali anayembeba habebeki
Jpm anatakiwa aangalie sana jinsi sifa yake inavyozidi kushuka kutokana na maovu ya bashite
Bashite anachokitoa kwa baba yake hajawahi kukifahamu mbona anakuwa mwehu kwa ajili ya kijana asiyekuwa na nidhamu hana sudi anachukiwa anaujinga mwingi mwongo hadi anachosha huyu mzee analamba nini kwa bashite
Uzuri ishu zinazomuhusu Bashite huwa hazikamiliki.Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
nje ya mada lumumba fcMakonda anawahenyesha sana, kama ni uwaziri ataupata tu. Kwa sasa ngoja asafishe jiji.
Mbu waking'ata bavicha wanamlaumu makonda, bavicha fc ikifungwa mnamlaumu makonda, chupi zikiwabana mnamlaumu makondo.
Kawabana hatari huyu jamaa!! Na bado, mumzoee tu na hizi sindano anazowapa maana he's here to stay!!
Angekufa mwanadamu mwenzio ungekejeli kama unavyofanya sasa. Ulaaniwe wewe na kizazi chako.Usihofu utawekwa wewe Kamanda. Ila poleni sana kwa msiba mzito wa Kamanda Mbwa
Katika vitu ambavyo vinamshushia hadhi na heshima aliyojijengea jpm katika wizara mbalimbali kabla ya kuwa rais ni kuendelea kumbeba mgongoni bashite angali anayembeba habebeki
Hata kama hawaiheshimu mahakama, lakini tukio hilo litaleta picha mbaya ambayo haitafutika. Hata hivyo na wenyewe wamegundua kuwa hizi kelele za wao kutoheshimu mahakama zimeshavuka mipaka ya nchi na huko nje ambako ndio bakuli letu la ombaomba linatembea wameanza kuchoshwa na malalamiko haya.
Sawa, kama wewe ndiwe Muumba wake!! Na bado, mumzoee tu na hizi sindano anazowapa maana he's here to stay!!
Eh! Si maCCM uwa yanasema Lowassa alifukuzwa uPM?Umewahi muona PM aliyeenguliwa na mkuu yeyote?
Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Makonda anaweza kuwa waziri hata kesho, swala la mbunge wa kuteuliwa kujiuzulu linawezekana kisha akateuliwa yeye na kupewa wizara
Kuna mtu alipiga RAMLI kama wewe kwenye uzi fulani...yeye hakutumia neno wizara muhimu kama wewe, yeye alisema wizara nyeti.Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Watu wengine mnashangaza sana. Wewe ni member tokea 2009 na unajuwa matukio mengi tumepashana hapa JF kwa mtindo huu wa mapema na yanatokea kabla wa nje ya jf hawajajua sie tayari. Lakini lijapo jambo la DAB siku hizi mnaita ramli na likitokea hamuombi radhi kwa kuliita ramli.Kuna mtu alipiga RAMLI kama wewe kwenye uzi fulani...yeye hakutumia neno wizara muhimu kama wewe, yeye alisema wizara nyeti.
sasa wewe umejaribu kuitetea ramli yako kwa kusingizia ni habari kutoka kwa vigogo wawili.....
"TANZANIA BADO TUNA SAFARI NDEFU"