Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Mimi huwa naomba radhi angalia quotes zangu zilizo pita mkuu...shida ni kwamba siku hizi sio Jambo forum..ni Jamii forum, unakuta mtu kaandika tetesi alafu ana-conclude hiyo ndio maana wadau wanaita Ramli...Ni kama takrima na rushwa kulivyo na thin line between the two.

Where we dare to talk openly...
The home of great thinkers....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Bashite akiwa waziri mkuu mbona tutakoma kuishi Tanzania [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
 

Hiyo ndio inaitwa "there is no permanent situation in the world " au "mene mene tekeli na peresi"
 
Haha ha ha hizo mahakama za chadema au?
They own everything, labda waseme wanawaogopa wananchi kwenye kupiga kura.

Maana kama waliweza kulinda kura zisichakachuliwe 2015 sidhani kama watashindwa hata sasa.
 
Kwani zile nafasi 10 za Rais haiwezekani kumtema mtu ili akae Prince?
 
Hivi CCM tukitaka kitu,kuna mtu wa kutuzuia?

Kuna mahakama ya kumzuia CCM Tanzania hii?

We jidanganye tu.
 
Leo hii CCM ndiyo ya kuogopa mahakama? SI kila siku mnasema zinapokea maagizo toka juu.

Au siku hizi huko juu kapanda Mtei?
 
Mficha maradhi uumbuka na mficha uchi azai heeee uwa hamjuagi tu
 
We kinakuuma nini kuna uwezekano mkubwa tz kukawa na wachawi wengi japokuwa hatuna tunguli
 
Kwa hiyo chifu, nawe hauna shaka na uhalali wa Daudi Bashite alias Paul Makonda kuja kuteuliwa na kupewa wizara?

no napinga illogical thread

kwa nn ahangaike kote huko kama ni kipenzi ha JPM

hata akienda mahakamani, mahakama si ni za ccm?

ndio naona ni uzushi

infact hata akisimama, yule ni unstoppable
 
Leo hii CCM ndiyo ya kuogopa mahakama? SI kila siku mnasema zinapokea maagizo toka juu.

Au siku hizi huko juu kapanda Mtei?
Kwani kuogopa mahakama ni kwa sababu ya maamuzi tuu? Hata kashfa hiyo kujadiliwa kwa uwazi ni jambo LA kuogofya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…