The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 559
Mimi huwa naomba radhi angalia quotes zangu zilizo pita mkuu...shida ni kwamba siku hizi sio Jambo forum..ni Jamii forum, unakuta mtu kaandika tetesi alafu ana-conclude hiyo ndio maana wadau wanaita Ramli...Ni kama takrima na rushwa kulivyo na thin line between the two.Watu wengine mnashangaza sana. Wewe ni member tokea 2009 na unajuwa matukio mengi tumepashana hapa JF kwa mtindo huu wa mapema na yanatokea kabla wa nje ya jf hawajajua sie tayari. Lakini lijapo jambo la DAB siku hizi mnaita ramli na likitokea hamuombi radhi kwa kuliita ramli.
Mmelishwa nini na hawa watu wawili sasa hivi kiasi kuwa kila kinacho wahusu kama wamekosea lazima mtapinga tuu bali utetezi ndio kazi yenu? (Tetesi) haipingwi ila kama huiamini ipite tuu usubiri matokeo.
Where we dare to talk openly...
The home of great thinkers....