Tetesi: Mkakati wa kuvifuta CHADEMA, CUF waiva

Wakati wakivifuta muwaambie wanachama wanaishi na upinzani ni itikadi sio uwepo wa taasisi jina.
Wanayafanya haya kwa sababu wamekosa maarifa
 
Tena wafute vyote, mpaka na ccm pia, tuelewe kuwa tuna mfalme
 
Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Umesahau kama hata kwenye hiyo kata moja mkubwa wa Mkoa alijuta na kuomba radhi kwa kuipoteza? Alisahau kufanya figisu kama wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…