Tetesi: Mkakati wa kuvifuta CHADEMA, CUF waiva

Tetesi: Mkakati wa kuvifuta CHADEMA, CUF waiva

Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Kweli mwizi haoni aibu yaani M avyofanya unyama kwenye uchaguzi utadhani nyinyi siyo binadamu wa Tanzania ya Nyerere
 
Unajua Mutungi na wenzake wanakosea kwasababu CCM haitaondolewa madarakani na CHADEMA AU CUF itaondolewa na Wananchi wenye dhamira ya kweli kwenye kuleta mabadiliko Nchini,wakifuta Vyama wanatufundisha maisha ya Kuikataa CCM bila kupitia Chama Chochote
 
Chadema iko ndani ya mioyo ya watu mkiifuta ni kwenye karatasi tu kitaibuka kingine tu.
 
Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Kwa msaada wa police nao mnaita ushindi?
Huo si ushindi Bali unyang'anyi wa wazi wazi
 
Mleta mada eden kimario umechambua hasa sisi huku kijijini kwa mbowe tumefurahi sana yaani wote akina mushi,mosha,akina mtui,manka,munisi,lema,mrema,ukoo wa mtei yaani wote wamefurahi na mchango wako koko
Mkuu chuki yako imepitiliza ni sawa kwako kudumisha fikra za mwenyekiti lakini si kwa chuki kiasi hiki ulichokionyesha, hivi huyo unaemchukia hivyo akipata nafasi ya kukutenda maovu itakuwaje?!?!?
 
Ilikuwa CUF,ipotezwe within 6 months,itumike njia ya mkato,kwa support ya taasis za umma, tatizo wamechemka migongano kisheria,mfano bodi halali wadhamini.
Kuna watu wana roho mbaya sana kucheza na itikadi za watu. Bora wangetumia mkakati usio wa wazi,mfano kupandiza viongozi mamluki.Ila nasikia yule bwana hataki long term solutions.Watendaji umma wana wakati mgumu sana,wengi wao wanatetea riziki pekee.
 
Mimi huwa najiuliza hivi hizi nguvu na gharama zinazotumiwa hapa kama zingetumika kwenye kuboresha maisha ya wananchi wa maeneo ya vijijini hasa upande wa elimu, afya, maji na barabara si zingewasaidia!?
 
Mtu yeyote mwenye dhamana ya ofisi ya umma anayewaza kufuta chama cha siasa aina ya CUF, CHADEMA atakuwa amepata nafasi hiyo kwa bahati tu; hakustahili.
 
Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Hivi huo nao mnajisifu mmeshinda baada ya kushindana!!!!!!!!!!!Kujitangazia ushindi wamezani ndio kushnda!!!!!Nyie jidanganyeni sana.
 
...Na habari za KUNUNUA Wabunge na adiwani wa UKAWA zilizanza hivi hivi. Mpango wa KUWAFUNGULIA kesi bandia na kuwafunga Viongozi wa UKAWA nazo zilianza hivi hivi. Zilipuuzwa lakini matokeo yake twayaona....
 
Kwanza baada ya kushindwa azma yao pale officini kwa cuf, wakaamua plan b, Lipumba kaletwa Pemba, kashindwa kufanya mikutano na kutembelea majimbo ya cuf, plan ikafeli, sasa wamemfukuza mtariro eti..

Naona kila wanapo kwenda wanadunda, ccm taabani, upinzani sio cuf na chadema tu, upinzani ni wananchi ambao hawakubaliani na serikali ya dhulma ya ccm, sijui serikali itatuuwa sote pia
 
Kimaro huyu Jamaa ni Tapeli alikua House Boy kwa Mama Mmoja hapo Moshi baada ya kufukuzwa kazi pale yupo mtaani anaitukana Serekali
 
Nilifikili watawafuta viongozi na wanachama wa vyama hivyo !! Kumbe wanafuta chama kama chama?

Sioni tatizo kwani viongozi hao hao na wanachama wao si wataanzisha chama kingine?

Au si wanaweza wakajiunga na chama kingine kama vile ACT WAZALENDO kisha wakaingia kwenye uchaguzi na wakachaguliwa tena? Hapo Serikali itakuwa imefanya nini au imepata faida gani?

Au kuna kikomo cha uanzishwaji wa vyama vipya?

Hata hivyo, Wakivifuta vyama hivyo, Hasara nyingi sana itakuwa kwa nani? Ni kwa serikali yenyewe au kwa vyama hivyo? Au kwa wanachama na viongozi wao?

Maana wabunge WOTE , madiwani na wenyeviti wa serikali za mitaa na vitongoji vyake wa vyama hivyo watapoteza sifa ya kuwa na vyeo vyao hivyo, Hivyo basi serikali itaingia gharama kubwa tena sana kugharamia uchaguzi mwingine!!

Wakati hayo yakifanyika ya kurudia uchaguzi kwenye maeneo hayo, Wabunge ,Madiwani na. Wenyeviti wa serikali za mitaa watahitaji kulipwa stahiki zao!! Je hasara kwa nani?

Wakati huohuo uchaguzi ukimalizika waliochaguliwa watahitaji wapewe vitendea Kazi vipya, magari n.k, nao wataanza Kazi ya kuwatumikia wananchi katika kipindi cha mwaka mmoja kisha tuingie uchaguzi Mkuu!! Nao pia watahitaji walipwe stahiki zao!! Wakati huo huo serikali inapaswa itafute Pesa za kugharamia uchaguzi Mkuu!!

Je hasara kwa nani?? Je kwenye viongozi na wanachama wa vyama vilivyofutwa ambao pia wanaweza wasianzishe chama kipya wakaishia kujiunga na ACT WAZALENDO kisha kuingia kwwnye uchaguzi ? Au ni kwa serikali??
 
Back
Top Bottom