radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Serikali ya ccm imeshindwa? Hawa wapenda sifa wanavyopenda kuudhalilisha upinzani hilo limemeshindikana?Mwambieni Kubenea akamlete Ben Saanane kule anakokunywa kahawa vijiweni
Serikali ya mapanga na bunduki.