Tetesi: Mkakati wa kuvifuta CHADEMA, CUF waiva

Tetesi: Mkakati wa kuvifuta CHADEMA, CUF waiva

Nauliza swali.Je ni chama gani kweli nchini kwetu Tanzania nasikia watu wanasema kinamiliki mapanga na mashoka; na kila uchaguzi kinayatumia?

Ushauri;

Usinijibu mimi,ila kama kuna mtu ana majibu atusaidie kwa kuyapeleka kwa Mhe.Msajili wa vyama vya siasa ili akifute haraka sana!!!!
 
Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Can you please mention five elements of free ad fair election? (Just mention). Mtu mzima akili ndogo hovyo
 
Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Ni kweli. hawa WATAJIFUTA TU hakuna namna. Hatutaki makelele ya vichaa katika nchi. Kazi yao kueneza uzandiki. Ni heri tusiwe na vyama vya siasa kama Saudi, Bahrain, Kuwait, Oman, etc
 
ficha umbulula wako basi, hivi hizi chaguzi za marudio unaweza kusema nazo ni chaguzi ? yalitokea yote hukuona ? watu wanapigwa, wasimamizi wanazuiliwa pamoja na hila nyingi bado mnajitia kuwa mlishinda kata 42 ? je kilichotokea hapa juzi kinondoni na siha hukuona ? mabazazi mkamuua mpendwa wetu akwilina(r.i.p), alafu unajinasibu kwamba mnashinda kihalali ?

ipo siku kibao kitawageukia punda nyie, damu ya mtu haimwagiki bure, haki haidhulumiwi. hata kama sio leo, au mwaka huu, vyeo vina mwisho.
kuna mbegu mbaya sana inamea kwenye kizazi cha sasa, siku ikilipuka hapatakuwa salama, rev ni kitu kitacho-take time, years over years, ila ipo siku.
Tatizo watu wakiwa CCM ufahamu unatoweka wanakuwa MAZOBA ni kama MALAYA wa kisiasa...
Akili zao na ufahamu wao wote wanafanana...wanadai wanakubalika na wananchi wakati wanatumia mabavu kulazimisha ushindi kwa kutoa UHAI wa wapiga kura...JE, HUKO NDO KUKUBALIKA?
 
Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Hata mh. Rais ameshasema mpaka 2010 anataka vyama vyote vya upinzani viwe vimefutika. Lakini pia rumeona jinsi chaguzi ndogo zilivyofanyika, kwahiyo ni kweli. Tatizo ambalo CCM hawaliangalii ni kuwa hakuna rais anaechaguliwa duniani kuvifuta vyama vya upinzani. Tulimchagua atumie kodi yetu kutuletea maendeleo sio kuviua vyama vya upinzani. Lakini swali la muhimi zaidi akiviua what then? Inatia hofu kwa taifa..
 
Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Naomba mungu vifutwe vyote.Ila kumbuka UPIn zani ukifa tunaanza na nyie.nyama ya MTU tamu bwana
Asikuambie .tu
 
mbona mna kiwewe hivyo?? upinzani unajiua wenyewe msimtafute mchawi, mnakimbiwa na viongozi wenu madiwani na wabunge then mnadai wananunuliwa..
Hivi mgeni anauye ingia hapa nchini akiuliza mitaa wanapoishi wapinzani au apite barabara gani ili awaone wapinzani utamweleweshaje.
Upinzani ni nini ?
Wapinzani wanaishi wapi?
Wapinzani wanaanzaje kuwa wapinzani

Hapi unapoishi kuna wapinzani?
Kwenye ukoo wenu wapo?
Kwenye familia yako kuna wapinzani?

Ukiona mtu anadhani kwamba wapinzani ni chadema na cuf
Mtandike viboko mwambie arudi shule kuongeza elimu ya uelewa.
 
Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
ccm inashinda uchaguzi au inaiba uchaguzi?

Tukutane tarehe 26.04.2018 nguvu ya umma haijawahi kushindwa
 
Mleta mada eden kimario umechambua hasa sisi huku kijijini kwa mbowe tumefurahi sana yaani wote akina mushi,mosha,akina mtui,manka,munisi,lema,mrema,ukoo wa mtei yaani wote wamefurahi na mchango wako koko
26/04/2018 nguvu ya umma haijawahi kushindwa..
 
Ni kweli. hawa WATAJIFUTA TU hakuna namna. Hatutaki makelele ya vichaa katika nchi. Kazi yao kueneza uzandiki. Ni heri tusiwe na vyama vya siasa kama Saudi, Bahrain, Kuwait, Oman, etc
26/04/2018

save the Date..
 
Back
Top Bottom