Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,470
- 515
kiislam ninasomwa kutoka kushoto kwenda kulia. baraza wanasoma kinyume chake.
stand for more confusion.
Kwa taarifa yako Wapemba wanazaana wengi na wanasomesha sana kama hilo haulijui nenda UD utaona,pia Waislam kusoma ni jambo la lazima kwetu kama tulivyoamuliwa na Mwenyezi Mungu hivyo wewe ukisema Waislam hawasomi sijui unatoa wapi hizo taarifa zako tunakushangaa! Jambo lolote kwetu sie Waislam ukiambiwa ni FARDH ni kuwa hauna wajibu wa kuliacha na ukiliacha basi unapata dhambi ndivyo lilivyo suala la Elimu kwetu ila nyie msio Waislam mnatutangazia kuwa sie ni VILAZA hatuna elimu nawaomba muelewe kuwa hizo falsafa zenu haziko sahihi!Mungu alimwambia Ibrahim, Isaka atarithi na atakuwa mfalme. Sasa Ishimael hakupewa hayo jamani!
Na mke wa Ibrahim akasema mtoto wangu wa pekee Isaka hatakaa pamoja na Ishimael. Tatizo la kuona nyinyi waislam mnaonewa na wakristo si kweli, mfano wapemba wanavyozaa bila mpangilio mtu mmoja hana elimu, hana hela, ila ana watoto 20! Matokeo yake watoto wanakosa elimu nzuri wanaishia la 7 wote!. Sasa unalaumu serikali!
Acheni kukimbili kusoma qruan someni vyote!
Kwa taarifa yako Wapemba wanazaana wengi na wanasomesha sana kama hilo haulijui nenda UD utaona,pia Waislam kusoma ni jambo la lazima kwetu kama tulivyoamuliwa na Mwenyezi Mungu hivyo wewe ukisema Waislam hawasomi sijui unatoa wapi hizo taarifa zako tunakushangaa! Jambo lolote kwetu sie Waislam ukiambiwa ni FARDH ni kuwa hauna wajibu wa kuliacha na ukiliacha basi unapata dhambi ndivyo lilivyo suala la Elimu kwetu ila nyie msio Waislam mnatutangazia kuwa sie ni VILAZA hatuna elimu nawaomba muelewe kuwa hizo falsafa zenu haziko sahihi!
Zanzibar tunaambiwa kuna wanafunzi wengi majibu ya mitihani yao ilibadilishwa. walipata B lkn wakaambulia F. baada ya kufatilia ndipo walipogundua kwamba matokeo yao sio halali.
Hii pia imetokea mwaka huu kwa upande wa tanzania baram kwa uapnde wa shule za waislam. ipo mifano mingi kama utafatilia na kuondoa jazba za kidini utapata maelezo na walioathirika na matokeo. jee kuna komputa za waislam na wasiokuwa waislam?
Kwanini NECTA ikosee kwa wanafunzi wa kiislam tu. au hata madhe
Huu nao ni upuuzi mwingine...Hao wengine wanafanya Islamic Knowledge??.
Hapa wanafunzi wanapofeli kuusingizia kuwa ni juu ya dini zao mimi napinga kwa nguvu moja! tena napinga kabisa, dhana hii ilikuwapo wakati wa marehemu Kighoma Ali Malima alipokuwa waziri wa elimu, na ili kuondoa dhana hii ukaletwa mfumo wa wanafunzi kuandika namba badala ya majina yao na walipendekeza mfumo huu ni waislam sasa iweje tena tunalalamika, na pia wasahishaji wa mitihani hii ni walimu wa shule zetu ina maana wao hawaoni haya na kusema! msiulaumu uislam, maana kati ya dini sinazosisitiza suala la elimu ni uislamu, Muhammad ( rehema za Mungu ziwe juu yake) kabla ya kupewa utume kitu cha kwanza aliambiwa "soma, soma kwa jina la mola wako" hakuambiwa achague elimu ya kusoma, ndio maana hata wakati wake alisisitiza" Itafuteni sana elimu hata kama ni uchina", so kosa sio uislam, kosa ni waislam wenyewe na hapa ni wale wachache wasiojali mbona kuna waislam wengi tu wamesoma na wanafanya vizuri mfano ni Prof. maghembe, Marehemu Haroub Othman, Prof Issa Shivji, Mwanaid Maajar na wengine tuache visingizio na kuutukanisha uislam!
Wakati wanatengeneza marking scheme, wewe ulikuwepo !? Au unaropokwa tuu ?Na mimi nilikua na wazo kama lako...lakini kwa kuongezea wanafunzi waislamu inabidi muwakabe na kuwashutumu waalimu wenu waliotengeneza marking schemes zisizo sahihi hata ikatokea mitihani yenu ikasahihishwa vibaya
hoja sio ugumu wa somo au lugha, issue ni kwanini matokeo yabadilike baada ya kulalamikiwa?? na NECTA wenyewe wamekiri kuwa watu wao wa IT walikosea ktk kuyaingiza kwn system!!?? Na kama imewezekana kwa somo moja iweje ishindikane kwa masomo mengine??Kina Ponda wamesema ni somo la Kiarabu na Knowledge ya dini ya Kiislamu ndio hao watoto wame fail na wakawa wanafananisha na somo la Biblia kwamaba watoto wanafaulu sana somo hili, lakini Waislamu wanafelishwa lao!
USHAURI; Kiarabu ni Lugha ngumu wafundisheni watoto wenu somo hilo kwa Kiswahili na hawato fail vinginevyo mtatoka mapovu mpaka utimilifu wa dahari! Shuleni mtoto masomo yake anaandika toka kushoto kwenda kulia ninyi mnawalazimisha kuandika toka kulia hii ni ajabu sana!
Wewe akili yako ni mbovu una takwim ya waislam wangapi wamesoma na wakristo wangapi wamesoma? ngoja nikusaidie waislam wengi wameenda shule isipokuwa tokea uhuru walikuwa hawapewi kuongoza sekta muhimu kwasababu ya ubaguzi wa kidini na ndo maana mnalalamika sasa hv baada ya wasio wabaguzi kuwapa angalau nafasi nyeti cjui hao wazee maprofesa na madokta wakiislam hizo awam nyingine walikuwa ugaibun?Mizimu ya waarabu huwachanganya sana waislamu wanapofanya mitihani kwasababu wakati wenzao walikuwa madarasani wao walikuwa madrasani...vitu viwili tofauti.......msilaumu mtu ila muilaumu dini yenu ambayo haiwafanyi muwe na uwezo wa kushindana kielimu na wakristo.
Waislam wanafeli sana kuliko wakristo ni kweli. Sasa utafananisha shule ya jabal hila ile ya kiislam pale moro na marian jamani. shule mbovu, elimu mbovu, misingi ya elimu mibovu, utafauluje? Jipangeni bwana muache udiniudini hapa, JK kajitahidi sana kuwabeba lkn hamna shukrani.