Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

Status
Not open for further replies.
Jumuiya na taasisi za kiislamu Tanzania imecharuka na kueleza kuwa Barza la Mitihani la Taifa (Necta) limekuwa likifelisha wanafunzi wa imani ya dini hiyo.

Jumuiya na taasisi hizo zimemtuhumu katibu Mtendaji wa Necta,Joyce Ndalichako na watendaji wengine wa baraza hilo kwa madai kuwa wamekuwa wakihujumu matokeo ya mitihani ya wanafunzi wa kiislamu.

Source:Nipashe 4/6/2012.
 
from what i know wapo zaidi ki-elim ahera...lini mmegeukia elim dunia??
 
Zanzibar tunaambiwa kuna wanafunzi wengi majibu ya mitihani yao ilibadilishwa. walipata B lkn wakaambulia F. baada ya kufatilia ndipo walipogundua kwamba matokeo yao sio halali.
Hii pia imetokea mwaka huu kwa upande wa tanzania baram kwa uapnde wa shule za waislam. ipo mifano mingi kama utafatilia na kuondoa jazba za kidini utapata maelezo na walioathirika na matokeo. jee kuna komputa za waislam na wasiokuwa waislam?
Kwanini NECTA ikosee kwa wanafunzi wa kiislam tu. au hata madhe
 
Huko NECTA kuna kusudi kabisa ya kuwaumiza Waislaam kielimu.

Cha kufanywa sasa, ni tume huru ya uchunguzi iende ikafanye uchunguzi wa kina na kurejea matokeo yote ya miaka iliyopita, miaka kumi nyuma, na ikibainika kuna njama za makusudi za kuwadumaza Waislaam kielimu basi hatua kali zichukuliwe na NECTA ibomolewe na kuundwa chombo kingine kitachokuwa na wataalaam sawa kwa sawa kati ya Waislaam na wasio Waislaam. Haki na usawa viwepo.
 
gooooood. kumbe ndio huyu ngalichako anaependwa JF
 
kwa nini mnashindwa kumshauri kikwete ba bilal? ndio muda huu ama mnangoja aje rais asiye wa dini yenu ili muandamane kila siku
 
Tatizo sio NECTA bali ni mtunzi na msahihishaji wa hiyo Islamic Knowledge ambaye ni muislamu mwenzenu
 
Acha uchonganishi huo wewe, mbona wagumu kuelewa hivi?? Hicho unachokidhania hapo sio sahihi.
 
Waziri wa Elimu unda kamati kuchunguza kama kweli kuna huu upuuzi.Ili kama ni kweli watakaohusika wapandishwe kizimbani tumechoka sasa
 
kina ponda wamesema ni somo la kiarabu na knowledge ya dini ya kiislamu ndio hao watoto wame fail na wakawa wanafananisha na somo la biblia kwamaba watoto wanafaulu sana somo hili, lakini waislamu wanafelishwa lao!

Ushauri; kiarabu ni lugha ngumu wafundisheni watoto wenu somo hilo kwa kiswahili na hawato fail vinginevyo mtatoka mapovu mpaka utimilifu wa dahari! Shuleni mtoto masomo yake anaandika toka kushoto kwenda kulia ninyi mnawalazimisha kuandika toka kulia hii ni ajabu sana!

ndalichako yupo kimkakati zaidi na ubunge wa viti maalum, sahrti aliopewa ndio hili
 
Hivi siku hizi kwenye mitihani ya Taifa (darasa la saba, kidato cha nne na cha sita) wanafunzi wanaandika majina yao badala ya namba za mtihani? Au NECTA imeweka orodha ya namba za wanafunzi wote wa kiislamu wa nchi nzima waweze kuwatambua ili wawafelishe? Sina maana ya kupinga mapungufu yanayojitokeza NECTA kama mitihani kuvuja n.k, lakini la kuwafelisha watu wa dini ya kiislamu kwa kudhamiria wakati wote wanatambulika kwa namba tu haliingii akilini!
 
jamani tusiutete huu udini inamana hawa waislam walikuwa wapi miaka yote hiyo? tusipende kuingiza mambo ya ajabu yasiyo na msingi.
 
Zanzibar tunaambiwa kuna wanafunzi wengi majibu ya mitihani yao ilibadilishwa. walipata B lkn wakaambulia F. baada ya kufatilia ndipo walipogundua kwamba matokeo yao sio halali. Hii pia imetokea mwaka huu kwa upande wa tanzania baram kwa uapnde wa shule za waislam. ipo mifano mingi kama utafatilia na kuondoa jazba za kidini utapata maelezo na walioathirika na matokeo. jee kuna komputa za waislam na wasiokuwa waislam? Kwanini NECTA ikosee kwa wanafunzi wa kiislam tu. au hata madhe
wani hakuna wakristo waliofeli? unajua wakristo sio walalamishi kama waislam. halafu ukiangalia muundo wa baraza, wazenji ni weng kuliko wabara. waislam ni wengi kuliko wabara. na inawezekana wazanzibar wakawa wanamhujum NDALICHAKO ili ionekane ameharibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom