Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

Status
Not open for further replies.
naomba nikujibu swali lako la kwanza..
kwenye kuapply vyuo masomo kama islamic knowledge,divinity hayahusiki..yatahusika endapo unaaply theology au usheikh(sipo sure kama usheikh unasomewa)..kwahyo hapo hamna kilicho badilika kwenye cutpoints za kuingia chuo.
 
sioni ukweli wa hii post....div3 to div1....hata kama huyo mdogo wako alipata A ya islamic religion.....
haiwezi turn to div1
ingekuwa ni mathematics au kiswahili its true tungejua alipata penalty...
UNA LENGO GANI?
Yaani JF vilaza mko wengi...muwe mna analysis kwanza kabla ya kupost mambo ya aibu wakuu....

mfano alipata CCF hapo ana point 3+3+7=13 si Div III-13 hiyo arifu

haya toa F weka A inakuwa CCA 3+3+1=7 SI dIV 1-7 hiyo arifu
 
unaparta div. 1 kwa alama za dini? halafu unategemewa uje uwe mtaalam kwenye jamii? Mi nadhani tujipongeze kwa kupata alama nzuri kwenye masomo yenye msaada kwa jamii siyo haya ambayo hata kama utapata A, havina uhusiano wa kufika kwa MUNGU.

Slaa alipata hiyo div 1?
 
naomba nikujibu swali lako la kwanza..
kwenye kuapply vyuo masomo kama islamic knowledge,divinity hayahusiki..yatahusika endapo unaaply theology au usheikh(sipo sure kama usheikh unasomewa)..kwahyo hapo hamna kilicho badilika kwenye cutpoints za kuingia chuo.

Umekosea kabisa na upo karne iliyopita. Kuna post nyingine humu kama hii, tumeeleza masomo ya Kiislaam yavyosaidia katika vyuo hususan katika sheria na economics. Kuna Islamic Economics ni soko kubwa sana sasa hivi duniani na kuna Shariah nayo inapanda chati kwa kasi.

Kumbuka mabenki ya Kiislaam yanazagaa duniani na pia Wasilaam wanazagaa duniani na wana haki zao amabazo hata kama si mahakama za kadhi, kama hapa kweyu ni lazima ziamuliwe kwa mtazamo wa Kiislaam mwanasheria mwenye kujuwa Islamic laws na Laws ana edge kuliko asiyezipitia hizo nyingine. Na wapi pakuandaliwa kama si A level? Fikiri!
 
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limebadili kinyemela bila taarifa matokeo ya Kidato cha Sita ya wanafunzi Waislam. Hii inatokana na malalamiko yaliyotolewa kuhusu kufeli mno wanafunzi Waislam hasa somo la "Islamic Knowledge". Baraza limebadili matokeo yote ya "Islamic Knowledge" kwa kusema kuwa IT wao alikosea pale alipogawanya wastani kwa 4 badala ya 2 kwa kuwa mitihani ilikuwa miwili.Ukiingia katika website ya NECTA hutapata "new" ya habari hiyo, hivyo kuonesha Baraza linajijua limefanya makosa, na kubadili kibyemela matokeo. MASWALI MUHIMU:-1. Jee Waislam waliokwisha omba vyuo wakati wana matokeo tofauti na yaliyotolewa na Baraza inakuwaje?2. Jee hii si dhulma Waislam waliyokuwa wanaitoa kwa Baraza kuwa linawaonea?3. Kwa nini Baraza wasijiuzulu kwa kashfa hii kubwa?NB: Naomba mods msiitoe hii, fuatilieni mtajua ni kweli, mdogo wangu alikuwa na Div III, sasa ana Div I.
Kitu ambacho sikushangaa na kitu ambacho nilikitegemea kutokana na viashiria vya awali ni Vurugu za Wana-Uamsho. Natabiri tena kwamba itafika siku, kwa viashiria hivi ambapo Waislam watadai Viti maalum Bungeni kwa ajili ya Waislam. Mark my words!
 
Hapa ndio utakapowajua wana CDM, juzi tu hapa walimsifia slaa kutoka diploma hadi udr wa dini, leo wanasema kufaulu dini sio kwa ajili ya uongozi.
hahahahahahahahahahaha
 
naomba nikujibu swali lako la kwanza..
kwenye kuapply vyuo masomo kama islamic knowledge,divinity hayahusiki..yatahusika endapo unaaply theology au usheikh(sipo sure kama usheikh unasomewa)..kwahyo hapo hamna kilicho badilika kwenye cutpoints za kuingia chuo.

We kilaza hujui kuna Bc of islamic studies, na lazima uwe umefaulu islamic knowledge?

hebu nikumbushe Dr. wenu slaa ni wa nini vile?
 
Yaani JF vilaza mko wengi...muwe mna analysis kwanza kabla ya kupost mambo ya aibu wakuu....

mfano alipata CCF hapo ana point 3+3+7=13 si Div III-13 hiyo arifu

haya toa F weka A inakuwa CCA 3+3+1=7 SI dIV 1-7 hiyo arifu

A na F wapi na wapi? Kwa ajili ya kosa la kugawa kwa 3 badala ya 2 think twice! Sema unaweza kutoka F hadi E ila sio A.
 
Umekosea kabisa na upo karne iliyopita. Kuna post nyingine humu kama hii, tumeeleza masomo ya Kiislaam yavyosaidia katika vyuo hususan katika sheria na economics. Kuna Islamic Economics ni soko kubwa sana sasa hivi duniani na kuna Shariah nayo inapanda chati kwa kasi.

Kumbuka mabenki ya Kiislaam yanazagaa duniani na pia Wasilaam wanazagaa duniani na wana haki zao amabazo hata kama si mahakama za kadhi, kama hapa kweyu ni lazima ziamuliwe kwa mtazamo wa Kiislaam mwanasheria mwenye ku
mkuu nimekuelewa ila naomba unitajie chuo gani hapa tz kina hiyo faculty ya islamic economics.
 
unaparta div. 1 kwa alama za dini? halafu unategemewa uje uwe mtaalam kwenye jamii? Mi nadhani tujipongeze kwa kupata alama nzuri kwenye masomo yenye msaada kwa jamii siyo haya ambayo hata kama utapata A, havina uhusiano wa kufika kwa MUNGU.

Hebu nikumbushe Slaa ana udr wa nini vile?
 
NECTA hii ni kashfa kubwa kumbe hawa jamaa wanacholalamikia ni kweli..

Sijawahi kuona unalala umepata DIV III halafu unaamka umepata Div I.

Ndio maana kila siku mie nasema Tanzania hakuna wasomi.

itabidi atusaidie kujua hiyo div 3 ilikua ya point ngapi, ila pia kwa mfano wako ili huyo dogo apate A somo moja na ahame kutoka alikokua hadi div 1 ina maana huko kwingine yuko na average ya 4pts kwa somo au kwa maana ingine kapata D + D kwenye masomo muhimu afu A ya islamic afu anakua na div 1?
 
Jaman nisaidieni kidogo, mdogo wake mleta thread ametoka div. 3 mpaka 1 kwa kubadilishiwa matokeo ya Islamic Knowledge, sasa hiyo div. 1 yake itamsaidia vipi kwa siku za usoni? Anaweza kwenda Varsity au atakuwa 'undertaker' na kufundisha watoto jinsi ya kuchamba baada ya 'kukata gogo?' Naomba nisaidiwe, manake kama alichukuwa PCB, nitamfuatilia mpaka nimfahamu ili asije akaua watu baadaye as a doctor!

1. alikuwa apate nafasi ya Chuo na akose mkopo kwa kuwa div 3
2. Sasa anapata chuo na mkopo hana maulizo kwa kuwa div 1 ...
 
Poleni sana kwa hilo.sasa washukurun necta kwa kurekebisha mambo.siamin kama kwel necta wanatoa matokeo kwa kuzingatia dini ya mtu.wenzetu shule za seminar wanafanya vzr kwa sababu nyingi ikiwemo walimu wa kutosha,mazingira mazur,usimamiz mzur wa ujifunzaji.kwa upande wa islamic au bible knowledge ni masomo muhim ila koz za vyuo zinaangalia masomo ya elim dunia.kuhusu uwezekano wa mtu kutoka daraja la 3 hadi la 1 inawezekana endapo somo 1 litarekebishwa.mfano kama masomo 2 ana d halafu islamic au bible knowledge akapata 'a' ikiwa mwanzo ilikuwa 'e' tayari ana daraja la 1 pointi 9.kuna uwezekano mkubwa tu kwa kidat0 cha 6 wa kutoka 3 had 1 kwa somo 1 kubadilishwa.waislam achen kulalamika kupita kias siyo maagizo hata ya din yen kwa mtu kulalamika bal kuonesha njia sahih kwa vitendo.kwa hil necta walipaswa kuomba radh kwa usumbuf na nadhan wamefanya hivyo.nawasilisha.
 
hebu ascan matokeo ya mdogo wake na atuwekee ushahidi wa kubadilishiwa kutoka div 1 hadi 3, chai za asubuhi asubuhi tumezichoka

Acheni ubishi wa kijinga wadau, A level ya tanzania ukipata A moja tu una nafasi kubwa ya kupata div 1 hata kama mengine utapata D D,
My delf a level nilipata div 1 ya ADD egm, so inawezekana kabisa kama dogo alikuwa na div 3 pts 13 ya EDD so ilo soma kama ni kweli liligawanywa kwa nne akapata E may be ya 40 maana yake likizidishwa kwa 2 atakuwa na 80 ambayo ni A kwa a level na kuvutwa mpaka div 1 through ADD,

Wadau mmesoma GCSE nini hadi hamjui madaraja ya necta yanavyopatikana,

Its possible from div 3 to div 1 kama somo moja lilikosewa.. Although dogo simjui japokuwa div 1 yake haina effect kwenye selection za chuo may be kwenye mkopo itambeba
 
Thread inahusu NECTA KUBADILISHA MATOKEO YA WAISLAM,sasa dr Slaa Anahusika vp?
 
Bila penati div I ya mwisho ni point ngapi?
na div III ya kwanza ni point ngapi?
kutoka F mpaka A kwenye somo moja mtu anakuwa amepanda points ngapi? je hazimtoshi kumfikisha div I kutoka III?
nauliza kwa sababu nimesahau NECTA wanapangaje hizo divisions.

Usiniambie hapo ulipo hujui hata ulipata matokeo gani ya kidato chako cha sita. Isije ikawa humu JF tunajibizana na MISUKULE wajemeni!
 
Yaani JF vilaza mko wengi...muwe mna analysis kwanza kabla ya kupost mambo ya aibu wakuu....

mfano alipata CCF hapo ana point 3+3+7=13 si Div III-13 hiyo arifu

haya toa F weka A inakuwa CCA 3+3+1=7 SI dIV 1-7 hiyo arifu

A na F wapi na wapi? Kwa ajili ya kosa la kugawa kwa 3 badala ya 2 think twice! Sema unaweza kutoka F hadi E ila sio A.

Yo Yo mwepesi ka nape, kwamba nikigawa kwa 4 mwanafunzi anapata F, ninarekebisha na kugawa kwa 2 sasa huyu mwanafunzi anapata A, hebu tufikirie all possible scenerios, huyu dogo inawezekana alipata ngapi ambazo nikizigawa kwa nne zinampa F lakini nikizigawa kwa mbili zinampa A????

hahahaaaa Yo Yoooooooo!
 
Ndicho nilicho andika hapo! Nimetoa mfano mwaka 1988 ilikuwa ndio mwaka wa kwanza kutumia IT, hilo lipo ila si kwa sababu ni waislamu! Hujaelewa nini hapo?

umehisi sijakuelewa????pole sana mdau,,,,naona umri nao unachangia kuhisi hujanielewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom