Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,612
Ndicho nilicho andika hapo! Nimetoa mfano mwaka 1988 ilikuwa ndio mwaka wa kwanza kutumia IT, hilo lipo ila si kwa sababu ni waislamu! Hujaelewa nini hapo?
kwanini udhani mdau,wakati wenyewe wamekiri kuwa IT alikosea??????tuwe realistic,NECTA si malaika, ni binadamu,wanaotunga mtihan ni binadam na wanaosahihisha ni binadam,wapanga matokeo binadam,sasa suala la kukosea lipo,,,,,,tena unaweza ukakuta wanakosea sana tu,ila hatujui,frm now wanaweza wakawa makini zaidi