kwanini udhani mdau,wakati wenyewe wamekiri kuwa IT alikosea??????tuwe realistic,NECTA si malaika, ni binadamu,wanaotunga mtihan ni binadam na wanaosahihisha ni binadam,wapanga matokeo binadam,sasa suala la kukosea lipo,,,,,,tena unaweza ukakuta wanakosea sana tu,ila hatujui,frm now wanaweza wakawa makini zaidi
Binafsi ninaamini kwamba hapa JF ndio nyumbani kwa great thinkers ... ninaamini itaendelea kua hivyo na ninaomba hali isibadilike.
Lakini tokea kumetokea malalamiko ya kukosewa kwa matokeo ya Islamic knowledge kwenye mtandao huu, nimeshuhudia hata watu niliokua ninawaamini sana wakitokwa na mapovu kwa kuongea sana na kupinga hayo malalamiko bila ya hata kuwa na data. Sasa ukweli umefahamika! Lakini bado kuna watu na akili zao wanakua wabishi tuu bila sababu za msingi ...
Mfano: Unaposema islamic knowledge ni somo lisilokua na umuhimu kwanini usihoji NECTA kwanini wanatahini hilo somo? Hilo swali lielekezwe kwa NECTA na serikali kwa ujumla na sio kuwashambulia watahiniwa waliofanya hilo somo.
Kwamba mtoto aliefanya islamic anategemea kwenda wapi ni swali unalotakiwa kuwahoji waliotengeneza mfumo huu wa elimu, sio mtoto alie elekezwa kusoma hilo somo, sasa anapolalamika kwamba haamini gredi aliyo pewa (ambapo imekuja kuthibitika ni kweli) basi ndo uanze kumuelimisha eti hata A ya islamic haina mpango ... kwanini haki isingetoka tokea mwanzo? Hadi makelele yapigwe?
Binafsi bado siamini kama NECTA wanampango wowote wa kuwachakachua waisilamu. Ninataka kuamini tu kwamba ni makosa yametokea kwenye ku-compute grade za hilo somo (sina uhakika ni masomo mangapi yamekosea!). Ninacho sikitika ni kwamba kwa ubishi wetu wa wazi wazi badala ya kuchambua hoja vizuri kunawapatia point hata wale waislamu wanao lalamika bila sababu za msingi (lkn sio kwa suala hili) ... sasa watakua ni wakweli siku zote ... sisi ndo teyari tumewapa point iwe hivyo.
Kitu kingine, humu ndani sijaona hata mtu mmoja alie weza kujibu hoja ya kwamba NECTA pameajiriwa mchungaji kwa ajili ya somo la Divinity lakini hakuna Sheikh wala Imamu alie ajiriwa kwa ajili ya somo la Islamic. Yawezekana NECTA wana dharau kama za baadhi yenu mlivyoonekana humu ndani, kwamba ISLAMIC ni somo lisilo na mpango?.
Palipo na ukweli tuwe tunakiri huo ukweli badala ya kutetea uongo!
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limebadili kinyemela bila taarifa matokeo ya Kidato cha Sita ya wanafunzi Waislam. Hii inatokana na malalamiko yaliyotolewa kuhusu kufeli mno wanafunzi Waislam hasa somo la "Islamic Knowledge". Baraza limebadili matokeo yote ya "Islamic Knowledge" kwa kusema kuwa IT wao alikosea pale alipogawanya wastani kwa 4 badala ya 2 kwa kuwa mitihani ilikuwa miwili.
Ukiingia katika website ya NECTA hutapata "new" ya habari hiyo, hivyo kuonesha Baraza linajijua limefanya makosa, na kubadili kibyemela matokeo. MASWALI MUHIMU:-
1. Jee Waislam waliokwisha omba vyuo wakati wana matokeo tofauti na yaliyotolewa na Baraza inakuwaje?
2. Jee hii si dhulma Waislam waliyokuwa wanaitoa kwa Baraza kuwa linawaonea?
3. Kwa nini Baraza wasijiuzulu kwa kashfa hii kubwa?
NB: Naomba mods msiitoe hii, fuatilieni mtajua ni kweli, mdogo wangu alikuwa na Div III, sasa ana Div I.
Kutoka div III mpaka I maajabu nchi hii haiishi vituko

Sasa hili somo ukipata A linakupeleka wapi, Telecoms Engineering?
blaki Womani unaamini??? hebu fikiria nini kimetokea, matokeo ya somo moja yanaweza kubadilisha point za mtahiniwa kwa kiasi hicho? to me doens't make much sense
Kutoka div III mpaka I maajabu nchi hii haiishi vituko
Inawezekana.
Mfano alikuwa na Div III.13, akiwa na E ya Islamic Knowledge ambayo ilitumika katika masomo ma3 ya kukokotoa pts zake.
Baada ya marekebisho, akapata A.
Hapo maana yake pts zake zitapungua by 4, atakuwa na pts 9, ni div 1 hiyo.
propaganda za kijinga ili watu wasijadili mambo ya maana, sielewi kwa nini siku hizi hata wambea wanapost jf si waende kwenye blog ya shigongo
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limebadili kinyemela bila taarifa matokeo ya Kidato cha Sita ya wanafunzi Waislam. Hii inatokana na malalamiko yaliyotolewa kuhusu kufeli mno wanafunzi Waislam hasa somo la "Islamic Knowledge". Baraza limebadili matokeo yote ya "Islamic Knowledge" kwa kusema kuwa IT wao alikosea pale alipogawanya wastani kwa 4 badala ya 2 kwa kuwa mitihani ilikuwa miwili.
Ukiingia katika website ya NECTA hutapata "new" ya habari hiyo, hivyo kuonesha Baraza linajijua limefanya makosa, na kubadili kibyemela matokeo. MASWALI MUHIMU:-
1. Jee Waislam waliokwisha omba vyuo wakati wana matokeo tofauti na yaliyotolewa na Baraza inakuwaje?
2. Jee hii si dhulma Waislam waliyokuwa wanaitoa kwa Baraza kuwa linawaonea?
3. Kwa nini Baraza wasijiuzulu kwa kashfa hii kubwa?
NB: Naomba mods msiitoe hii, fuatilieni mtajua ni kweli, mdogo wangu alikuwa na Div III, sasa ana Div I.
Bila penati div I ya mwisho ni point ngapi?sioni ukweli wa hii post....div3 to div1....hata kama huyo mdogo wako alipata A ya islamic religion.....
haiwezi turn to div1
ingekuwa ni mathematics au kiswahili its true tungejua alipata penalty...
UNA LENGO GANI?