Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Adidja Palmer, maarufu kama "Vybz Kartel," alihukumiwa kifungo cha maisha Machi 13, 2014, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya Clive "Lizard" Williams pamoja na wenzake watatu, Shawn, Andre St. John, na Kahira.
Aidha, Mahakama ya Rufaa ya Jamaica imeamua kutokusikiliza tena kesi hiyo kutokana na hali mbaya ya kiafya ya Vybz Kartel, anayesumbuliwa na ugonjwa wa "Graves Diseases".
Licha ya kuwa jela, Vybz Kartel aliendelea na kazi zake za muziki ambapo mwaka 2016 alitoa wimbo wake wa "Fever" ambao una (views) milioni 62 YouTube.
Kiongozi wa magenge ya wauza ngada jamaica.....aliwaacha chipukizi kwenye game ambao sasa ni hatari wa dancehall kuna General degree,Javada,richiespice,chris martin...wanadafa sherieta,denyqueAdidja Palmer, maarufu kama "Vybz Kartel," alihukumiwa kifungo cha maisha Machi 13, 2014, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya Clive "Lizard" Williams pamoja na wenzake watatu, Shawn, Andre St. John, na Kahira.
Aidha, Mahakama ya Rufaa ya Jamaica imeamua kutokusikiliza tena kesi hiyo kutokana na hali mbaya ya kiafya ya Vybz Kartel, anayesumbuliwa na ugonjwa wa "Graves Diseases".
Licha ya kuwa jela, Vybz Kartel aliendelea na kazi zake za muziki ambapo mwaka 2016 alitoa wimbo wake wa "Fever" ambao una (views) milioni 62 YouTube.
Ni nyimbo gani ya mkali huyu unaikubali sana?
Huyo richiespice ni moto mwingine, hua na mfananisha na konshens, christ Martin naona kapoaKiongozi wa magenge ya wauza ngada jamaica.....aliwaacha chipukizi kwenye game ambao sasa ni hatari wa dancehall kuna General degree,Javada,richiespice,chris martin...wanadafa sherieta,denyque
Lips zimekolea moshi......
Kiongozi wa magenge ya wauza ngada jamaica.....aliwaacha chipukizi kwenye game ambao sasa ni hatari wa dancehall kuna General degree,Javada,richiespice,chris martin...wanadafa sherieta,denyque
Na wewe umeona?!Lips zimekolea moshi......
Sentensi ya kwanza pale juu!? Na ile ya pili.Free World Boss. A Gaza me seh.
General Degree ni mkongwe sana usimuweke kuwa ni chipukizi. Alikuwapo kabla Kartel hajaingia kwenye game. wimbo wake "Granny" umetoka 1992.
"World Boss" ni jina lingine la Vybz Kartel. Washabiki wake wamefurahi amekuwa huru sasa.Sentensi ya kwanza pale juu!? Na ile ya pili.
Nimeelewa mkuu."World Boss" ni jina lingine la Vybz Kartel. Washabiki wake wamefurahi amekuwa huru sasa.
Gaza ni msemo wake wa kuonesha resiklency, wao ni "Team Gaza". Kwa hiyo ukisema "A Gaza me seh" ni kama unajitambukisha kuwa una i support team Gaza.
View: https://youtu.be/2KZriDkYqO8?si=mc3tVjAM-Dq5SWn3
Sana tu.Nimeelewa mkuu.
Inaonekana mkuu unapenda mziki pia.