Mkali wa DanceHall "Vybz Kartel" hatimae ameachiwa Huru

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Adidja Palmer, maarufu kama "Vybz Kartel," alihukumiwa kifungo cha maisha Machi 13, 2014, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya Clive "Lizard" Williams pamoja na wenzake watatu, Shawn, Andre St. John, na Kahira.

Aidha, Mahakama ya Rufaa ya Jamaica imeamua kutokusikiliza tena kesi hiyo kutokana na hali mbaya ya kiafya ya Vybz Kartel, anayesumbuliwa na ugonjwa wa "Graves Diseases".

Licha ya kuwa jela, Vybz Kartel aliendelea na kazi zake za muziki ambapo mwaka 2016 alitoa wimbo wake wa "Fever" ambao una (views) milioni 62 YouTube.

Ni nyimbo gani ya mkali huyu unaikubali sana?
 
Mmoja kati ya wasanii wangu pendwa wa dancehall aisee huyu anabalaa sana katika ulimwengu wa dancehall mzee wa fever, beg yu f*ck, bicycle ride, summer 16,counjal girl........
 
Adidja Palmer, maarufu kama "Vybz Kartel," alihukumiwa kifungo cha maisha Machi 13, 2014, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya Clive "Lizard" Williams pamoja na wenzake watatu, Shawn, Andre St. John, na Kahira.

Aidha, Mahakama ya Rufaa ya Jamaica imeamua kutokusikiliza tena kesi hiyo kutokana na hali mbaya ya kiafya ya Vybz Kartel, anayesumbuliwa na ugonjwa wa "Graves Diseases".

Licha ya kuwa jela, Vybz Kartel aliendelea na kazi zake za muziki ambapo mwaka 2016 alitoa wimbo wake wa "Fever" ambao una (views) milioni 62 YouTube.

Adidja Palmer, maarufu kama "Vybz Kartel," alihukumiwa kifungo cha maisha Machi 13, 2014, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya Clive "Lizard" Williams pamoja na wenzake watatu, Shawn, Andre St. John, na Kahira.

Aidha, Mahakama ya Rufaa ya Jamaica imeamua kutokusikiliza tena kesi hiyo kutokana na hali mbaya ya kiafya ya Vybz Kartel, anayesumbuliwa na ugonjwa wa "Graves Diseases".

Licha ya kuwa jela, Vybz Kartel aliendelea na kazi zake za muziki ambapo mwaka 2016 alitoa wimbo wake wa "Fever" ambao una (views) milioni 62 YouTube.

Ni nyimbo gani ya mkali huyu unaikubali sana?
Kiongozi wa magenge ya wauza ngada jamaica.....aliwaacha chipukizi kwenye game ambao sasa ni hatari wa dancehall kuna General degree,Javada,richiespice,chris martin...wanadafa sherieta,denyque
 
Na sisi wa kijiji cha pumbulwa tunauliza huyo kamanda ni wa chama cha CCM au Chadema?
 
Kiongozi wa magenge ya wauza ngada jamaica.....aliwaacha chipukizi kwenye game ambao sasa ni hatari wa dancehall kuna General degree,Javada,richiespice,chris martin...wanadafa sherieta,denyque
Huyo richiespice ni moto mwingine, hua na mfananisha na konshens, christ Martin naona kapoa
 
_20240802_074228.JPG
 
Vybz kartel ki ukweli ni jitu jambazi sana wazeee na sidhani kwamba ile ndo ilikua tukio yake ya kwanza kuua
 
Kiongozi wa magenge ya wauza ngada jamaica.....aliwaacha chipukizi kwenye game ambao sasa ni hatari wa dancehall kuna General degree,Javada,richiespice,chris martin...wanadafa sherieta,denyque

Free World Boss. A Gaza me seh.

General Degree ni mkongwe sana usimuweke kuwa ni chipukizi. Alikuwapo kabla Kartel hajaingia kwenye game. wimbo wake "Granny" umetoka 1992.
 
Sentensi ya kwanza pale juu!? Na ile ya pili.
 
Back
Top Bottom