Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hospitali wanalala chini kwa kujisa vitanda....
Madawa hakuna unaambiwa kanunue famasi...
Safi sana raisi mlete tuburudike na tusahau shida zetu...
ama kweli kusoma kuelewa kukesha mbwembwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hospitali wanalala chini kwa kujisa vitanda....
Madawa hakuna unaambiwa kanunue famasi...
Safi sana raisi mlete tuburudike na tusahau shida zetu...
Eh we wa Rukwa pia?
Binamu jaman where are you? Ebu kuja bhas pande izi utupe maubuyu aiseeh, ebu tumwagie mambo aiseeh
wema anaweza akamtosa dogo aiseee maana yule sista nae hazikabi ati!
Bongo movie wajiandae pamba na mnyuko lazimaa kieleweke wakija na kuondokaa lazima tusikie mengi hotel watakayofikiaa watu watakua wengi kweliii loooooooi
Binamu hebu tabirii wakija wasaniii watautumiaje uchumi waooo si unawajua bongo movieee
Bongo movie wajiandae pamba na mnyuko lazimaa kieleweke wakija na kuondokaa lazima tusikie mengi hotel watakayofikiaa watu watakua wengi kweliii loooooooi
Tatizo lugha binamu, ngoja tusubir vichekesho kutoka kwa mwenyekiti steve nyerere, sijui ataongea nini.
Itabidi awe wema kwa muda mwenyekiti msaidizi awe steveee