Mkali wa Hollywood Terrence J kutua jumamosi tar 12/7

Bongo movie wajiandae pamba na mnyuko lazimaa kieleweke wakija na kuondokaa lazima tusikie mengi hotel watakayofikiaa watu watakua wengi kweliii loooooooi
 
Tatizo lugha binamu, ngoja tusubir vichekesho kutoka kwa mwenyekiti steve nyerere, sijui ataongea nini.
 
Binamu hebu tabirii wakija wasaniii watautumiaje uchumi waooo si unawajua bongo movieee

Apo simpatii picha mama ubaya atakavyo jikoki na yule lazima apigwe nao, wengine watakimbia chezea lugha ya malkia weye
 
Bongo movie wajiandae pamba na mnyuko lazimaa kieleweke wakija na kuondokaa lazima tusikie mengi hotel watakayofikiaa watu watakua wengi kweliii loooooooi

yani siku hyo mbili haikai moja haichezi na watu waehafwnya booking hotel watakayofikia
 
Back
Top Bottom