Mkalimani wa Movie kwa Kiswahili kwenye Mabasi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mabwakuuu
 
[emoji1787]

Siyo abiria, madereva na makonda wao, abiria huwa wako active wakisikia matangazo ya dawa na sabuni zaidi kuliko ujinga wa miziki na movie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijaona kama amekosea kusema hamna shida. We don't do word to word translation. Ukifanya hivyo context haiwez kumake sense at all.
Kama ulifuatilia saga la subtitles za Kiimgereza za Squid game, wakorea walikuwa wanalalamika kuwa subtitles za kiingereza zinapotosha mazungumzo ya ile series. But there was no way subtitlers wangefanya word to word ika make sense kwa english viewers maana language is culture.
Uko sahihi kabisa .Agreed
 
Uko sahihi kabisa. Agreed
 
Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema?

My pleasure = hamna shida
Let us go = nenda nyumbani
How! = Wapi sasa
Hakuna kitu kinaniudhi ninaposafiri kama hicho!!! Wakiweka hizo takataka huwa nalazimisha kulala hata kama sina usingizi. I hate them.
 
Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema?

My pleasure = hamna shida
Let us go = nenda nyumbani
How! = Wapi sasa
Haya makosa ni ya kawaida sana.
 
We mwenyewe unajua uongo. Af,haitakaa itokee kutafsiri lugha. Ukifanya inavotakiwa,unaharibu. Na wao hufanya hivo makusudically,si kwamba hawaelewi.
 
Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema?

My pleasure = hamna shida
Let us go = nenda nyumbani
How! = Wapi sasa
Mwaka 2017 wakati naanza kujifunza lugha ya kichina niliangalia movie (au season sikumbuki vizuri) inaitwa the Victory. Moja ya sehemu niliona mmoja wa wahusika kwenye movie hiyo anamuuliza mwenzie 你叫什么名字?(nǐ jiào shénme míngzi?) Maana yake "unaitwa nani" ila mkalimani akasema "ana mwambia mwanangu usijali utapona" nilichukia tena kuangalia picha za kutafsiriwa unajiuliza kwanini mkalimani asiwekeze kumtafuta anayejua lugha amlipe amtafsirie yeye aingize maneno (Sauti yake tu) sawa na wanavyofanya Azam tv
 
Tuna safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom