Mkanda wa jeshi (Herpes zoster/ shingles) fahamu kuhusu dalili na tiba yake

Jamii ya watanzania inahitaji elimishwa sana kuhusu haya mambo ya afya watu wamekuwa wepesi Ku assume Bila ya kufanya uchunguzi hili Jambo linakera sana Na tunapoteza ndugu zetu wengi sana kwa ajili ya panic tu yanayoipata kwenye taarifa ambavyo hazijathibitishwa Na madaktari....
Mleta mada nimekusamehe lakini hii ndo thread ambayo imenikwaza sana siku ya leo
 
Ukimwi unadawa mlazimishe awahi hospitali na aanze dawa, acha kulia lia humu
 
Nakushauri kwa kuwa umeshajua tatizo la ndugu yako,msaidie ili akapime ujue uhakika kama ana tatizo zaidi ya hilo ili umsaidie zaidi,hasipokuelewa mwambie mama,baba au rafiki anayependana nae ili mshirikiane kumsaidia.Nakutakia siku njema
 
MWENYE ENZI MUNGU ATUEPUSHE WALAHI
 
Thanks

Samahani mkuu ,ww ni mwalimu gamba,uliwahi kufundisha nyegina
 
Kwa jinsi ulivyoandika, nina mashaka na hizo akili nying saba ulizotumia
 
Mkuu uko Sawa,ila naamini na uzoefu nilionao ,wala cjakosea akienda kupima lazima positive itokee,najua Nina uhakika na watu wa namna hii nimewahudumia sana
Daaah wewe ndio watu wanaonyesha kidole mtu wkt vitatu vinakusonta
Usimpime mtu kwa macho huenda hata hana
Subiria akiumwa hata malaria akienda hospital msindikize then muombe dr ampime majibu ampe mwenyewe
 
Kwanza kinga za mwili zikishuka ndio mwanzo wa maradhi nyemelezi
Na kinga kushuka sio kwa waathirika wa ukimwi tu
Hata mama wajawazito kinga zao zinashuka haijalishi + au -
Cancer,na matatizo ya msongo pia
Sasa kupata mkanda wa jeshi au kuwa na Tb mtu aanze kushukiwa ameathirika
Hapana ndg
Tena huenda unamshauri vby mpk anaogopa badala ya kujiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…