Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua je kazidishiwa sasa wakati hauelewi chochote. [emoji3]Habari wanajamvi. Naomba kujua dawa mkanda wa jeshi au niende hospitali gani nipate dawa maana mgonjwa kapewa dawa duka madawa kama kazidishwa
Sijasema kazidishiwa nimesema kazidishwaUnajua je kazidishiwa sasa wakati hauelewi chochote. [emoji3]
Ni PM nkupe direction nipate kukutibu but dawa zake inabidi utoe Dozi kubwa na mara kwa mara kwa siku sababu hazikai damuni hizo dawa zake
Unamaanisha kazidiwa?Sijasema kazidishiwa nimesema kazidishwa
Ahahahaha! Na vile vipimo vyetu vinavyokuwaga wake zetuUkienda huko Hospitali uwaombe pia kupima na HIV ili ujue na afya yako ipoje.
Mkanda wa Jeshi ni dalili ya kwanza ya kiashiria cha kupungua kinga mwilini.Kama una uhakika/uzoefi kuwa ni mkanda wa jeshi, tumia dawa inaitwa Acyclovir ya kupaka/tube na vidonge pia. Fasta tu, siku 5 mpaka 7 anapona kabisa.
Ila akipaka inauma+kuwasha, so mgonjwa alijue hilo.