Mbilimbili
Senior Member
- Mar 17, 2012
- 172
- 19
je una dalili gani zaidi? andika zaidi upate kueleweka! ni tovuni tu? ni vipelevipele au la! au umenenepa kitambi kinakutoka?:thinking:
uo mkanda unawatokea wajawazito!!
Poleni na majukumu wadau, nina kitu kinanisumbua akili yangu. Iko hivi: kwa muda wa karibia wiki mbili kuna mstari ulijitokeza juu ya kitovu, na unakua kila kunapokucha kukatiza kwenye tumbo. Je wataalamu huu ndio mwanzo wa kuwa na hili tatizo, au niondoe shaka juu ya hili?
duuu, pole sana mkuu, wahi VCT-unaweka ukafa kwa presha kumbe ni vitu vingine tu
basi huo si mkanda wa jeshi! endelea na maisha mzee usiwe na wasi!!ni hayo tu mkuu wala sina dalili nyingine ni mstari kabisa sio vipele, pia mi nina umbo la wastani sana sio mnene kihivyo na ni juu ya kitovu tu.
basi huo si mkanda wa jeshi! endelea na maisha mzee usiwe na wasi!!