Mkanda wa WWE warudi kwa Seth Rollin

Mkanda wa WWE warudi kwa Seth Rollin

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Katika Summer slam alfajiri ya Leo , mtanange mkali uliokuwa ukisubiliwa na wengi, moja ya pambano ni kati ya Brock Lesnar na Seth Rollins

Pambano limemalizika kwa Seth kushinda ,tofaut na matarajio ya wengi, Seth alikuja tofauti na siku zote , Aliweza kuhimili na kuzikwepa Suplex city za Block lesnar ambazo ndio silaha zake kuu,

Pamoja kuwa na injury Seth amepambana na mkanda ameurejesha ,ikumbukwe awali mkanda wa WWE UNIVERSAL ulikuwa kwa lesnar , Kwenye wrestmania Seth akauchukua , Lesnar kupitia MONEY IN THE BANK , alifanikiwa Ku cash na kumshinda Seth na kuurejesha mkanda ,hapa katikati , Lesnar alimvamia Seth na kumletea majeraha , lkn Seth hakukata tamaa kwenye kuelekea pambano la Summer slam ambalo aliahid atapambana kuurejesha mkanda wake.

Na Leo amefanikiwa hivo.

Congratulation to team Seth Rollins

He promised he would do it, and he DID! @WWERollins is your NEW #UniversalChampion!!!

#AndNew #UniversalTitle #SummerSlam @HeymanHustle @BrockLesnar
IMG_20190812_053619.jpeg

Matokeo mengine yakoje?
Mechi zingine
Kofi na Orton
Aj na richo
Becky na Natalia

Na zingine?
 
Katika Summer slam alfajiri ya Leo , mtanange mkali uliokuwa ukisubiliwa na wengi, moja ya pambano ni kati ya Brock Lesnar na Seth Rollins

Pambano limemalizika kwa Seth kushinda ,tofaut na matarajio ya wengi, Seth alikuja tofauti na siku zote , Aliweza kuhimili na kuzikwepa Suplex city za Block lesnar ambazo ndio silaha zake kuu,

Pamoja kuwa na injury Seth amepambana na mkanda ameurejesha ,ikumbukwe awali mkanda wa WWE UNIVERSAL ulikuwa kwa lesnar , Kwenye wrestmania Seth akauchukua , Lesnar kupitia MONEY IN THE BANK , alifanikiwa Ku cash na kumshinda Seth na kuurejesha mkanda ,hapa katikati , Lesnar alimvamia Seth na kumletea majeraha , lkn Seth hakukata tamaa kwenye kuelekea pambano la Summer slam ambalo aliahid atapambana kuurejesha mkanda wake.

Na Leo amefanikiwa hivo.

Congratulation to team Seth Rollins

He promised he would do it, and he DID! @WWERollins is your NEW #UniversalChampion!!!

#AndNew #UniversalTitle #SummerSlam @HeymanHustle @BrockLesnar View attachment 1178785
Hii kitu iko staged.
Seth Rollings hawezi mpiga Block Lesnar hata usingizini..
Ngoja nisome tena ulichoandika...
 
Katika Summer slam alfajiri ya Leo , mtanange mkali uliokuwa ukisubiliwa na wengi, moja ya pambano ni kati ya Brock Lesnar na Seth Rollins

Pambano limemalizika kwa Seth kushinda ,tofaut na matarajio ya wengi, Seth alikuja tofauti na siku zote , Aliweza kuhimili na kuzikwepa Suplex city za Block lesnar ambazo ndio silaha zake kuu,

Pamoja kuwa na injury Seth amepambana na mkanda ameurejesha ,ikumbukwe awali mkanda wa WWE UNIVERSAL ulikuwa kwa lesnar , Kwenye wrestmania Seth akauchukua , Lesnar kupitia MONEY IN THE BANK , alifanikiwa Ku cash na kumshinda Seth na kuurejesha mkanda ,hapa katikati , Lesnar alimvamia Seth na kumletea majeraha , lkn Seth hakukata tamaa kwenye kuelekea pambano la Summer slam ambalo aliahid atapambana kuurejesha mkanda wake.

Na Leo amefanikiwa hivo.

Congratulation to team Seth Rollins

He promised he would do it, and he DID! @WWERollins is your NEW #UniversalChampion!!!

#AndNew #UniversalTitle #SummerSlam @HeymanHustle @BrockLesnar View attachment 1178785
Hongera zake,
Hapo kabla Lesnar alimjeruhi Sana Seth ili kumvunja nguvu. Alimrusha mara kadhaa kwenye kiti kwa style yake ile ya F5.
 
Jana Seth alikuja tofauti ,suplex city ambayo ndio silaha kuu ya lesnar alikuwa anaziruka
Scripted...
Fans wanataka bingwa mwingine, hivyo wanatengeneza vitu kwa jicho la kawaida utasema alikuwa aaziruka, yeaah, anazruka after practicing "together" how to jump...
Congrates to Seth ila bado naamini wrestlers wa sasa hamna wa kumsumbua Lesnar..
 
kama kuna bingwa aliboa alikuwa Jinder na alidumu hadi alipopigwa na aj styles kibahati tu
 
Scripted...
Fans wanataka bingwa mwingine, hivyo wanatengeneza vitu kwa jicho la kawaida utasema alikuwa aaziruka, yeaah, anazruka after practicing "together" how to jump...
Congrates to Seth ila bado naamini wrestlers wa sasa hamna wa kumsumbua Lesnar..
Sio kila kitu ni scripted , kuna game nyingine ni serious, kama bingwa mwingine bas angetafutwa ,sio Seth ,maana juz tu ulikuwa kwa lesnar ukaenda kwa Seth ukarud kwa lesnar ,na Jana umerud kwa seth
 
Back
Top Bottom