Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Katika Summer slam alfajiri ya Leo , mtanange mkali uliokuwa ukisubiliwa na wengi, moja ya pambano ni kati ya Brock Lesnar na Seth Rollins
Pambano limemalizika kwa Seth kushinda ,tofaut na matarajio ya wengi, Seth alikuja tofauti na siku zote , Aliweza kuhimili na kuzikwepa Suplex city za Block lesnar ambazo ndio silaha zake kuu,
Pamoja kuwa na injury Seth amepambana na mkanda ameurejesha ,ikumbukwe awali mkanda wa WWE UNIVERSAL ulikuwa kwa lesnar , Kwenye wrestmania Seth akauchukua , Lesnar kupitia MONEY IN THE BANK , alifanikiwa Ku cash na kumshinda Seth na kuurejesha mkanda ,hapa katikati , Lesnar alimvamia Seth na kumletea majeraha , lkn Seth hakukata tamaa kwenye kuelekea pambano la Summer slam ambalo aliahid atapambana kuurejesha mkanda wake.
Na Leo amefanikiwa hivo.
Congratulation to team Seth Rollins
He promised he would do it, and he DID! @WWERollins is your NEW #UniversalChampion!!!
#AndNew #UniversalTitle #SummerSlam @HeymanHustle @BrockLesnar