Huyo jamaa hata mimi namheshimu sana, nimeinjoi huduma yake utotoni haswa ile namna yake ya kuiga sauti za wanaoongea wakiwemo wanawake. Baada ya kukua na kidogo kuielewa hii lugha ya malkia, nimekuja kugundua kuwa alikuwa mkweli mno katika masimulizi yake. Hata kama kuna vicomedy alikuwa anavifanya kwa kuongezea hili na lile lkn si kwa kuathiri maana halisi.
Aisee hawa kina dj macky waongo aisee......dah! Linaloongelewa na wanalolisema wao ni vitu viwili todauti kabisaaaa!!!!!!
Watafsiri wengine wakweli ni wale wa Kenya, nawasikia sana kupitia Rembo TV