Mkandarasi huko Moshi ameingia mitini na Milioni 51 za askofu Shoo wa T.A.G

Ndagullachrles

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2023
Posts
256
Reaction score
259
Mkandarasi wa Kampuni moja ya ujenzi mjini moshi(jina kapuni kwa sasa)anadaiwa kuingia mitini na shilingi Milioni 51 alizopewa na Askafu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Asseblies of God(T,A.G).Glorious Shoo.

Mkandarasi huyo aliingia mkataba na kupewa kiasi hicho cha pesa kama malipo ya awali kwa ajili ya ujenzi wa shule ya watoto wanaotoka katika mazingira magumu lakini akaingia mitini.

"Huyu mkandarasi aliingia mkataba na baba askofu wa ujenzi wa shule ambayo inasaidia watoto wanaotoka katika mazingira magumu na alilipwa milioni 51 kuanza ujenzi akajifanya analeta material uchwara site akasepa zake moja kwa moja kwa moja ",anasema mtu aliyekaribu na askofu Shoo. na kuongeza.

"Fedha hizo ni za wafadhili ambao walijitoa kumsaidia Askofu Glorious Shoo kwenye shule ya watoto yatima lakini huyu mkandarasi(anamtaji jina)akasepa nazo.............ni tapeli sana huyu mkandarasi",anasema.

Jukwaa hili linamtafuta mkandarasi huyo na akipatikana tunaweka hapa majina yake,kampuni yake na alichokisema,kaa mkao wa kula ,tunarudiiii
 
Sio rahisi mkandarasi kupiga kiasi kikubwa cha fedha ya mradi mkubwa kama huo peke yake. Hapo watu wamekula fedha halafu kampuni ya mkandarasi itashitakiwa mahakamani, na kama tunavyojua mahakama zetu ndio ishatoka hiyo.
 
Askofu Shoo siyo yule wa KKKT ?
Acha tu wale hela za walemavu na yatima waone kwao hakutakosa walemavu na yatima milele.

Semeni Amina.
 
Askofu mwenyewe kala deal mkandarasi atambae na mbesa.
Wameliwa wafadhili.
 
Mkandarasi wa Kampuni moja ya ujenzi mjini moshi(jina kapuni kwa sasa)anadaiwa kuingia mitini na shilingi Milioni 51 alizopewa na Askafu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Asseblies of God(T,A.G).Glorious Shoo.

Mkandarasi huyo aliingia mkataba na kupewa kiasi hicho cha pesa kama malipo ya awali kwa ajili ya ujenzi wa shule ya watoto wanaotoka katika mazingira magumu lakini akaingia mitini.

"Huyu mkandarasi aliingia mkataba na baba askofu wa ujenzi wa shule ambayo inasaidia watoto wanaotoka katika mazingira magumu na alilipwa milioni 51 kuanza ujenzi akajifanya analeta material uchwara site akasepa zake moja kwa moja kwa moja ",anasema mtu aliyekaribu na askofu Shoo. na kuongeza.

"Fedha hizo ni za wafadhili ambao walijitoa kumsaidia Askofu Glorious Shoo kwenye shule ya watoto yatima lakini huyu mkandarasi(anamtaji jina)akasepa nazo.............ni tapeli sana huyu mkandarasi",anasema.

Jukwaa hili linamtafuta mkandarasi huyo na akipatikana tunaweka hapa majina yake,kampuni yake na alichokisema,kaa mkao wa kula ,tunarudiiii
Hayo makosa ni ya askofu. Kwanini amekwenda kutafuta mkandarasi feki? Je, alifuata kanuni za kutafuta wakandarasi au alifanya mambo kinyemela? Je ali float hiyo tenda ya ukandarasi kupitia magazeti au njia nyingine sahihi? Askofu Shoo awajibike!
 
Askofu Shoo siyo yule wa KKKT ?
Acha tu wale hela za walemavu na yatima waone kwao hakutakosa walemavu na yatima milele.

Semeni Amina.
Je umeshakula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS.

Kama bado, unasubiri nini?
 
Back
Top Bottom