Mkandarasi wa ujenzi wa SGR Tanzania, Yapi Merkezi adaiwa kuwa na hali ngumu kiuchumi

Hiyo Reli haiwezi Kwisha ng'o...Kenyatta na akili zake zote za biashara na Uchumi mkubwa wa Kenya ameshindwa kumalizia SGR yake, itakuwa Huyu Kilaza Kamasi wa Kolomije🤧
 
Mwezi Nov Mwaka jana kwa hesabu zipi? Mradi umeanza May 2017 na ni mradi wa miezi 36(Miaka 3)...hujaweka atleast 3 month ya Mobilization...hio Nov mradi unaishaje?...sometime tuache unafiki nafiki
Tarehe iliyoandikwa ni hiyo hapo kwenye bango. Kama kulikuwa na nyongeza ya muda ni mpaka lini?, mwaka umepita sasa
 
Mwezi Nov Mwaka jana kwa hesabu zipi? Mradi umeanza May 2017 na ni mradi wa miezi 36(Miaka 3)...hujaweka atleast 3 month ya Mobilization...hio Nov mradi unaishaje?...sometime tuache unafiki nafiki
Ndio umeshakwama sasa
Kazi za Umma mnataka kuzifanya kama mnajenga Nyumba zenu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mimi ninavyoona kama nguvu ya kwanza ingekuwa kuishia Morogoro tungekuwa tushamaliza zamani,shida ni kuanza phase 2 kabla ya 1 kumalizika.
Mikurupuko at work watawala wanafanya hivyo kwaajili ya political influence

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: BAK
Chuki kwa JPM haitafanya Tanzania isiendelee.
 
Waturuki tupo nao mtaani daily tunakula nao fegi.
 
Wanasaccos mnahangaika sana. Miradi hiyo yote itamalizika salama salimini. Mjiandae kufa kwa stress baada ya kukamilika.
Stress lazima. Hayo madeni mnayoingia mnadhani ni dunia hii?
 
Waturuki waliopo kwenye mradi wanaishi Kama wamekuja tour Yaan,full Bata level ya [emoji294][emoji294][emoji294][emoji294][emoji294]..yaaann...kwa jinsi wanavyolipana..
Wamejisahau kabisa.. wazawa na sub company wanakoma na kusanda kuhusu malipo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…