Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

Kwa kuanzisha huu mradi ambao utapunguza gharama za usafirishaji Kwa asilimia zaidi ya 30%mabasi na malori Yao yatakosa kazi?
Utapunguzaje??

Maana Lazima kuwepo na maelezo toshelevu kwetu sisi maamuma!!

Halafu mbona huko zilikoanzia hizo treni Bado Kuna malori na mabasi yanafanya kazi?
 
utapunguza gharama Kwa kubeba mzigo mkubwa zaidi,haraka zaidi Kwa kutumia nishati nafuu zaidi. hilo la malori na mabasi kufanya kazi huenda ni wasiwasi wa wenye magari hayo.
 
Labda...

Jua lakini kuwa mradi wenyewe ni mkopo na kanuni ya kulipa mkopo iko wazi haipindishwi.

Kama gharama za mkopo hazitawekwa kwenye gharama za uendeshaji itakuwa ni kasheshe kwa serikali maana yenyewe ndiyo itabeba mzigo mkubwa wa kutoa ruzuku Ili mradi usife.
 
Back
Top Bottom