Unaongea ujinga ,kwa hiyo miradi mikubwa mbona haikuwa na changamoto ,ni lini kama taifa tutajikomboa ,mbona hapo ruanda wanafanya makubwa tuWatu waliuliza Kwa nini tunafanya miradi mingi mikubwa kwa pamoja wakaitwa vibaraka wa mabeberu na wengine kama kina Lissu wakaambulia kupigwa risasi.
Hela tulizokuwa tunaambiwa zipo Kwa ajili ya hii miradi zimekwenda wapi?