Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

Watu waliuliza Kwa nini tunafanya miradi mingi mikubwa kwa pamoja wakaitwa vibaraka wa mabeberu na wengine kama kina Lissu wakaambulia kupigwa risasi.

Hela tulizokuwa tunaambiwa zipo Kwa ajili ya hii miradi zimekwenda wapi?
Unaongea ujinga ,kwa hiyo miradi mikubwa mbona haikuwa na changamoto ,ni lini kama taifa tutajikomboa ,mbona hapo ruanda wanafanya makubwa tu
 
Mwenye nyumba unamlipa pesa badala aziingize kwenye ujenzi ikiwa ni pamoja na kulipa mafundi na vibarua anaenda kulipia Madeni kwingine mradi wako unakwama.

Usiwe mjinga siku zote cheap is expensive ndio maana kigeso Cha mkandarasi mojawapo ni financial stability yake.
Si anamkataba
 
Hizi hela si ndo mradi mzima au .inaamaana hajalipwa hata kidogo
Hizo $1.8 billion ni za lot 3 (Makutopora mpaka Tabora) na lot 4 (Tabora mpaka Isaka), lot zote hizi mbili zinahitaji jumla ya $2.2 billion, hivyo kwa majibu wa maelezo mpaka sasa pesa iliopatikana kwa lot 3&4 ni $400 million na hivyo kufanya funding gape kuwa $1.8 billion
 
Mwenye nyumba unamlipa pesa badala aziingize kwenye ujenzi ikiwa ni pamoja na kulipa mafundi na vibarua anaenda kulipia Madeni kwingine mradi wako unakwama.

Usiwe mjinga siku zote cheap is expensive ndio maana kigeso Cha mkandarasi mojawapo ni financial stability yake.
Yapi ni 10 kwa ubora na kazi zake ni za kisasa huweiz kusema yapi ni cheap company labda uwe unamakamasi kichwani
 
Back
Top Bottom