Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani jamani jamani jamani jamani jamani! Mimi ni mmoja wapo wa wauza Vocha za simu mitandao yote. Sisi hatuna makosa. Malalamiko yote kuhusu kupanda kwa vocha muwapelekee serikali au makampuni ya simu.Muuzaji hana kosa, wala usithubutu kumtendea visivyo... lakini haya mekundu ndiyo concern yangu....!
Zain inawatahadharisha wateja wao kutonunua vocha tofauti na bei iliyoandikwa kwenye vocha zenyewe. Usiongeze hata senti... Hii ni kwa mujibu wa taarifa yao kwa vyombo vya habari, naitafuta nikiipata nitaitundika kwenye hii mada...
Burn!
Hapo umechomekea leo asubuhi nimenunua tigo ya Elfu tano kwa bei hiyo hiyo! ya buku tano muza kadi kakufua tu !!!
Watumiaji wa Voda walishauriwa na Mzee Mwanakijiji waachane na mtandao ambao umeingizwa hapa TZ kwa rushwa ya CCM hamkusikia litakalowafika ni shauri yenu hampaswi kulalamika.
Wewe Burn hata TIGO wangepandisha kwa rate inayotumika ya Tshs.60 kwa dakika Tigo kwa Tigo bado inalipa. Kama uko Zain au Voda ambao inabidi uchague watu kumi au watano kwa bei ya Tshs.60 kwa dakika always ianakula kwako! Hivi nyie watu wa KIJANI hamkujifunza hata Table mlipokuwa bush school now chekechea !!!!
Coming back to the stupid TCRA hivi kukimbilia kusajili simu kwa vile tu watu wezi wachache wametumiwa ujumbe wa matusi inasaidia kitu gani kuleta nafuu ya bei kwa watumiaji wa mitandao ya simu. Huko ulaya wanasajili simu and people have proper ID's LAKINI wizi wa simu na matusi mbele kwa mbele!!! Prof. Mkoma You are really dead and buried!!! Magari yenye ukubwa kama VX yanaibwa na ktokomea hayaonekani kwani si yamesajiliwa na majina ya wabunge!! Unatarajia simu isiibwe simply kwa kusajili acheni upuuzi hata watu wenyewe hawajulikani shit!!!!
Kwa kweli haihitajiki mtu kuwa Profesa kuliona hilo. The challenge brought by TIGO kwa kushusha bei mpaka kufika 60/= per minute ni fundisho tosha kwa wapumbavu wa CCM I mean the JMK aka Matonya GVT kwamba tumekuwa tukiibiwa kichizi na makampuni ya simu!! now to Mkoma kwa nini usitumie Tigo kama Guinea pig na kupanga bei kama anavyofanya Sekirasa kwenye usafiri wa mabasi?? That man is not a Professor lakini take trouble and ask the wananchi on the streets ! Definately he is popular than many of our ministers!!! Na anafuatilia
The bottom line nawashauri mjiunge na TIGO you won't regret tigo can as well expand and take up the influx na kumonopolize the market kama walivyofanya Tanzania Breweries walipoiua Kibo Breweries kule Moshi!! To HELL WITH ZAIN AND VODA kwani wana kiburi cha CCM.
Hata mimi leo July 3 nauza vocha za Vodacom kwa sh. 550, 1100, 2200, 3300, 5500. Na zingine zote nauza bei ya kawaida yaani 500, 1000 n.k. kwa sababu bado nina stock ya zamani ila nikienda kuchukua stock mpya kama bei itakuwa juu basi tutauza kama zilivyo za VodacomJana nilikuwa nanunua vocha nikaambiwa Vodacom peke yao ndio wamepandisha bei, nikaikumbuka rai hii. Kwakweli its high time kuachana na mtandao huu wenye kila sura na dalili zote za wizi.
Na watanzania asilimia kubwa huishia hivi...
Unanyong'onyea kisha unaondoka hahahahahaha!
Tanzania inaweza kuongozeka kirahisi nimeamini...
ASANTE KWA TAARIFA TUTAENDA KUNUNU HUKO HUKO MNAKONUNUA. inawezekana kwa ufahamu wenu mnaenda kununua kwa wauzaji wa reja reja badala ya JUMLA, asante kwa TAARIFA, nitakuwa nanunua za wiki 3 kupunguza garama za kusafiri mpaka kwenye hudumaJamani jamani jamani jamani jamani jamani! Mimi ni mmoja wapo wa wauza Vocha za simu mitandao yote. Sisi hatuna makosa. Malalamiko yote kuhusu kupanda kwa vocha muwapelekee serikali au makampuni ya simu.
Hivi kama wewe ni mfanyabiashara umenunua bidha kwa sh. 10,000 je utaenda kuiuza kwa sh. 10,000 hiyohiyo? Jibu ni hapana. Ndivyo ilivyo katika vocha za simu kwa bei ya jumla. Baadhi ya sehemu nyingine vocha za jumla kwa mfano 1000 za voda tunauziwa hiyo hiyo 1000, hivi kama wewe utaiuza kwa sh. ngapi? Na wakati huo huo bado hujapigia hesabu matumizi ya nauli uliyoitumia kufuata hizo vocha. Jamani msitulaumu bure.
Hata mimi Vocha za sh. 500 nauza 550, za 1,000 nauza 1,100 n.k.
KWANI ni kwa VOUCHER za VODACOM peke yake?Its about time tuanze kuwatosa hawa vodacom, hakuna sababu ya kuendelea kubembelezana wakati watoa huduma wanaongezeka kila siku! Sasatel si wameshaanza?
nyie wauzaji ndo mlitakiwa mtoe angalizo kwa hayo makampuni ya simu.....ukinipa vocha imeandikwa 1000 sikupi zaidi ya hiyo ..........habari ndo hiyo...mnataka kuuza 1100 print vouchers with that amount on it(tusaidieni kufikisha ujumbe kwa maboss wenu)Jamani jamani jamani jamani jamani jamani! Mimi ni mmoja wapo wa wauza Vocha za simu mitandao yote. Sisi hatuna makosa. Malalamiko yote kuhusu kupanda kwa vocha muwapelekee serikali au makampuni ya simu.
Hivi kama wewe ni mfanyabiashara umenunua bidha kwa sh. 10,000 je utaenda kuiuza kwa sh. 10,000 hiyohiyo? Jibu ni hapana. Ndivyo ilivyo katika vocha za simu kwa bei ya jumla. Baadhi ya sehemu nyingine vocha za jumla kwa mfano 1000 za voda tunauziwa hiyo hiyo 1000, hivi kama wewe utaiuza kwa sh. ngapi? Na wakati huo huo bado hujapigia hesabu matumizi ya nauli uliyoitumia kufuata hizo vocha. Jamani msitulaumu bure.
Hata mimi Vocha za sh. 500 nauza 550, za 1,000 nauza 1,100 n.k.
weeee fide temea mate chini maana Izraili yuko nyuma yako atasepa na ako karoho kako chacha hivi.Hizi mia mia za juu ndo tunalipia gharama za mashangingi, posho za wadosi mjengoni n.k wao hizi mia mia hawalipi ila tunawalipia sisi yaani nchi hii natamani kufa hata kesho.
weeee fide temea mate chini maana Izraili yuko nyuma yako atasepa na ako karoho kako chacha hivi.
by the way mie nimenunua asubuhi nimwembia muuzaji sina mia mbili ntampelekea lakini navuta muda ili nijue kama kweli au si kweli
hapo chacha........hehehehe natema mate juu kisha nayadaka. Nawahurumia watu wa vijijini maana wkt wa buku wao ilikuwa buku jiti mbili sasa hivi si itakuwa buku jero kama sio gwede kabisa.