Mkanganyiko wa kauli ya Mzee Mangula, Rais Samia, Waziri Mwambe na ya Hayati Magufuli inaonyesha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni ‘White Elephant’

Mkanganyiko wa kauli ya Mzee Mangula, Rais Samia, Waziri Mwambe na ya Hayati Magufuli inaonyesha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni ‘White Elephant’

Uko sawa mkuu,ila anza na wenye gesi ya mtwara...ukiwamudu....basi hata huko kwenye bandari utawamudu,. otherwise acha wenye nchi yao waendelee kula matunda ya nchi yao wenyewe na familia zao
alipomaanisha ile miswaada ilikua ya haraka haraka na akidi ya wabunge haikutimia ni pamoja na ya gesi ya mtwara
 
Kwenye kampeni 2015 ccm Kirumba, Ujenzi wa daraja la busisi kigongo ilikuwa hoja kwenye hitimisho la kampeni ya mgombea. Tena Jk alikuwepo.
Ujenzi wa viwanja vya ndege 11 vipya ilikuwa sehemu ya ilani.
Wapumbavu watakuchosha tu,imekwisha gundulika huo mradi umejaa utapeli na walitegemea JPM atakaa kimya utekelezwe kirahisirahisi hivyo
 
Kwenye kampeni 2015 ccm Kirumba, Ujenzi wa daraja la busisi kigongo ilikuwa hoja kwenye hitimisho la kampeni ya mgombea. Tena Jk alikuwepo.
Ujenzi wa viwanja vya ndege 11 vipya ilikuwa sehemu ya ilani.
Na nyie manaroho ngumu na mada wa kuwwjibu hao watu kila siku chato chato hivi amna viwanja vya ndege vilovyojengwa mikoa mingine jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tumejaa visumbufu kichwani. Bagamoyo ni ardhi ya Oman? Kwa mintarafu na mikataba ipi? Tusikariri zile porojo za jiwe...
Suala sio kujenga au kutokujenga bandari, kwa mkataba au makubaliano yapi? Kama nchi, maslahi yetu yameangaziwa ipasavyo?

Nna imani tungekua na uwezo tungeijenga wenyewe hiyo bandari kwa pesa zetu. Tatizo ni hapo kwenye terms and condition ( pakiwekwa sawa, ijengwe tu hata kesho).
 
Wangeacha aendelee na mamlaka,unamua mwenzako halafu unajiona mjanja,muache awe hai halafu umzidi maarifa , pathetic
Wana Ccm , laiti mngejua nchi hii ni ya waTz wote mngewasikiliza na wengine. Siku ile ya kupitishwa kwa muswaada wa Gas na mafuta. Wapinzani wakiongozwa na TAL walikuwa na nia njema kabisa.

Lakini mlishangilia kisa cha wao kutimuliwa ukumbini ili madudu yapitishwe. Leo kama nchi tunalia na kusaga meno. Rasilimali hiyo si ya taifa bali wawekezaji !!. Sasa na hili la bandari vumilieni
 
Wana Ccm , laiti mngejua nchi hii ni ya waTz wote mngewasikiliza na wengine. Siku ile ya kupitishwa kwa muswaada wa Gas na mafuta. Wapinzani wakiongozwa na TAL walikuwa na nia njema kabisa. Lakini mlishangilia kisa cha wao kutimuliwa ukumbini ili madudu yapitishwe. Leo kama nchi tunalia na kusaga meno. Rasilimali hiyo si ya taifa bali wawekezaji !!. Sasa na hili la bandari vumilieni
Kama ni raslimali ya Taifa wewe na kizazi chako ni waathirika
 
Nna imani tungekua na uwezo tungeijenga wenyewe hiyo bandari kwa pesa zetu. Tatizo ni hapo kwenye terms and condition (
UAE wangeogopa uwekezaji kama sisi hiyo Dubai port isingekuwepo leo. Na pangekuwa jangwa hadi leo
 
Mkumbusheni mzee Mangula kwamba:-
-ujenzi wa daraja la Busisi
- kuhamisha wanyama kwenda kuanzisha hifadhi ya Burigi
-ununuzi wa ndege
-ukusanyaji wa tozo
-n.k

Vyote hivi havikuwemo/havimo kwenye ilani ya ya uchaguzi ya ccm.
Aaah aah kweli kabisa.

Hivi matozo ya kipuuzi yapo kwenye ilani gani?
 
Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo .

Rejea jinsi dharura iliyotumika kupitisha miswaada hiyo na idadi ya wabunge waliotumika kufanya ufedhuli huu,idadi walikuwa ni sitini tu kati ya wabunge mia tatu.

Mzee Mangula anasema bandari haimo kwenye ilani ,bali ilani inataja ujenzi wa gati tu. je nini tofauti ya gati na bandari?

Wanaopanga kujinufaisha na huu mradi kwa kuliingizia Taifa hasara kama ni kweli, wajue kwamba tutawadai wao pia tutakidai kizazi chao kwa gharama yoyote ile warudishe walichopora
mtakidai wapi?tupaze sauti kupinga mradi huo.kuna jambo zito nyuma ya pazia.watu waliishachukua chao na waliotoa wanadai haki yao.mradi huo unaenda kuua banadri ya dar na nchi inaenda kufirisika sababu mapato yote yataenda sasa kwa mabeberu ambao wanawekeza hapo.uchumi unaenda kuzama kwa maslahi ya wachahche.katiba kwa sasa ni muhimu sana kuliko chochote ili kupunguza mamlaka ya watawala na pia kuwafanya watawala wawajibike kwa wananchi.serikali nyingi za afrika ni za kidhalimu na hatujui waafrika alitulaani nani.hii nchi kwa sasa haiendi sawa wananchi tupaze sauti kuirudisha kwenye mstari.
 
Mzee Mangula anasema bandari haimo kwenye ilani ,bali ilani inataja ujenzi wa gati tu. je nini tofauti ya gati na bandari?
Mzee Mangula anasahau kwamba awamu ya tano ilitekeleza miradi mipya mikubwa ambayo haikuwepo kwenye ilani ya CCM, Je ilipata mamlaka hayo toka wapi?

Tuanzie hapo kwanza.
 
UAE wangeogopa uwekezaji kama sisi hiyo Dubai port isingekuwepo leo. Na pangekuwa jangwa hadi leo

Kwa hiyo wewe shida yako bandari ijengwe tu ili kuonyesha kwamba hatuogopi. Bila kuzingatia tunapata faida gani right?

Unajua UAE wananufaika vipi na huo uwekezaji?
 
Back
Top Bottom