Pesambilli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 283
- 78
Hammy-D mtakuja na kila aina ya mbinu na utetezi, hamtaweza kutuondoa katika hoja muhimu sana na tutazijibu hoja bila shaka.WanaJF,
Rais mstaafu wa JMT, ndugu Benjamin Mkapa, ametoa maoni hayo akiwa kwenye hafla fupi ya kuzindua vitabu vyenye hotuba zake zote za kipindi alichokuwa rais wa JMT.
Ndugu Mkapa amesema ili kuendeleza umoja na mshikamano wetu wa kihistoria, ni vyema Watanzania wabaki na muundo huu uliopo wa serikali (yaani serikali mbili).
Aidha, rais huyo mstaafu alitumia nafasi hiyo kutuasa Watanzania juu ya kuenzi amani na utulivu wetu hasa katika kipindi hiki cha kuandaa katiba mpya ya nchi.
My take,
Binafsi bado sijashawishika na wale wanao pendekeza serikali 3 mpaka sasa. Mara nyingi nikijaribu kufuatilia naona wengi wanao shabikia kufufuka kwa Tanganyika ni wafuata upepo wasio na hoja yoyote ya msingi ya kuwapa hamu ya kuitaka Tanganyika!
Kuna haja yoyote ya kuifufua Tanganyika?
Kufanya hivyo kutajibu matatizo yetu ya taifa kama vile ujinga, magonjwa na umaskini?, hell no.
Zanzibar imejitangaza nchi kamili hivi karibuni. Je, wamebadilika nini mpaka sasa?
KILICHO KUFA, KIBAKI KUWA MFU TU.
chezeeni utulivu huu kwa mikono yenu! Kama dhamira ya kweli ni Umoja iwe kweli serkali.1! Serkali mbili si Umoja tena bali utengano! Unapo sema aliyekufa amekufa, huo ni ujinga wa kumchezea simba makalio eti amelala! Tatizo la ujinga na umaskini usilihushe na Utaifa wake mtu!WanaJF, Rais mstaafu wa JMT, ndugu Benjamin Mkapa, ametoa maoni hayo akiwa kwenye hafla fupi ya kuzindua vitabu vyenye hotuba zake zote za kipindi alichokuwa rais wa JMT. Ndugu Mkapa amesema ili kuendeleza umoja na mshikamano wetu wa kihistoria, ni vyema Watanzania wabaki na muundo huu uliopo wa serikali (yaani serikali mbili). Aidha, rais huyo mstaafu alitumia nafasi hiyo kutuasa Watanzania juu ya kuenzi amani na utulivu wetu hasa katika kipindi hiki cha kuandaa katiba mpya ya nchi. My take, Binafsi bado sijashawishika na wale wanao pendekeza serikali 3 mpaka sasa. Mara nyingi nikijaribu kufuatilia naona wengi wanao shabikia kufufuka kwa Tanganyika ni wafuata upepo wasio na hoja yoyote ya msingi ya kuwapa hamu ya kuitaka Tanganyika! Kuna haja yoyote ya kuifufua Tanganyika? Kufanya hivyo kutajibu matatizo yetu ya taifa kama vile ujinga, magonjwa na umaskini?, hell no. Zanzibar imejitangaza nchi kamili hivi karibuni. Je, wamebadilika nini mpaka sasa? KILICHO KUFA, KIBAKI KUWA MFU TU.
Acheni unafiki hivi hizo serikali mbli ni msaafu au ni kanuni ya kiihisabati? Mbona hamtaki serikali moja ambayo kwa maoni yangu ni bora zaidi kuliko hayo maserikali mbili, tatu au hata mia. Sababu ya kutotaka serikali moja ni ipi?WanaJF,
Rais mstaafu wa JMT, ndugu Benjamin Mkapa, ametoa maoni hayo akiwa kwenye hafla fupi ya kuzindua vitabu vyenye hotuba zake zote za kipindi alichokuwa rais wa JMT.
Ndugu Mkapa amesema ili kuendeleza umoja na mshikamano wetu wa kihistoria, ni vyema Watanzania wabaki na muundo huu uliopo wa serikali (yaani serikali mbili).
Aidha, rais huyo mstaafu alitumia nafasi hiyo kutuasa Watanzania juu ya kuenzi amani na utulivu wetu hasa katika kipindi hiki cha kuandaa katiba mpya ya nchi.
My take,
Binafsi bado sijashawishika na wale wanao pendekeza serikali 3 mpaka sasa. Mara nyingi nikijaribu kufuatilia naona wengi wanao shabikia kufufuka kwa Tanganyika ni wafuata upepo wasio na hoja yoyote ya msingi ya kuwapa hamu ya kuitaka Tanganyika!
Kuna haja yoyote ya kuifufua Tanganyika?
Kufanya hivyo kutajibu matatizo yetu ya taifa kama vile ujinga, magonjwa na umaskini?, hell no.
Zanzibar imejitangaza nchi kamili hivi karibuni. Je, wamebadilika nini mpaka sasa?
KILICHO KUFA, KIBAKI KUWA MFU TU.
Nguluvi una hakika gani kwamba watanzania wote ,ama asilimia kubwa wanahitaji muundo wa serikali 3? jambo hili sanasana linakuzwa na wanasiasa kuliko mwananchi wa kawaida ambaye yeye kikubwa kwake ni yale mahitaji yake ya msingi, kama yanaweza patikana ndani serikali moja au mbili au tatu siyo tatizo.Hammy-D mtakuja na kila aina ya mbinu na utetezi, hamtaweza kutuondoa katika hoja muhimu sana na tutazijibu hoja bila shaka.
1. Rais Mkapa amekuwepo katika serikali zote kwa miaka zaidi ya 40. Matatizo yaliyopo aliyaona na alikuwa na fursa ya kuyatafutia ufumbuzi kwa miaka 10 alipokuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM. Historia ipo wazi Mkapa hakufanya lolote na matatizo yaliyopo ni zao la yeye kukimbia ukweli wa kuyakabili. Kwa msingi huo Mkapa hana Moral authority ya kuongelea jambo alilo feli na hapa nasema Mkapa shut up!
2. Kwako Hammy D
Kabla hujawalaumu wanaotaka serikali ya Tanganyika lazima uwaeleze kwanini serikali mbili ni muafaka, kwanini miaka 50 serikali mbili hazijatoa jibu la tatizo na kwa vipi kubaki na serikali 2 kutatuliwa.
Ukishatoa maelezo yenye akili, usiishie hapo bali ueleze kwanini Wazanzibar siyo sehemu ya Tanzania isipokuwa wanapotaka mafao tu. Halafu utueleze tatizo la kurudi kwa Tanganyika ni lipi endapo SMZ ipo na hakuna tatizo. Ni vipi ujio wa Tanganyika uwe tofauti na ule wa SMZ.
3. Matatizo ya umasikini na maradhi yapo kwa miaka 50 chini ya serikali 2. Ni jambo la ajabu unapotaka kufanya uvumbuzi kuwa Tanganyika itakuja na matatizo yaliyoshindikana miaka 50 chini ya serikali 2.
4. Kama unakubalii kuwa znz imejitangaza kama nchi kamili, jiulize nchi hiyo imeungana na ipi ili kupata Tanzania. Huoni malalamiko ya wznz kuwa Tanganyika ndio Tanzania yatazidi kutubebesha lawama na mzigo kwa miaka mingine ijayo. Lazima uwe na logic kuwa muungano unatokeaje kukiwa na nchi moja tu.
Kurudi kwa Tanganyika kunatokana na kushindwa kwa sera za CCM na udhaifu wa Rais Kikwete katika ku address matatizo ya kitaifa. Huwezi kuwa na ZNZ kama nchi huku ikichota mishahara Tanganyika. Huwezi kuwa na nchi huku ada zake zikilipwa na Tanganyika n.k.
Ninachotaka kukuambia ni kuwa muungano na znz ni pale wanapokuwa na mafao zaidi ya hapo Mznz hamthamini Mtanganyika.
Muungano ni hiari ya wananchi ambao kupitia tume 5 za watu mashuhuri na waadilifu tena kwa muongozo wa CCM zimeona hakuna muungano isipokuwa kuwa na nchi mbili.
Kwasasa kung'ang'ania serikali 2 kunaweza kuwa ni bendeji baada ya siku 90 nguvu ya umma itarudi kwa kasi sana na muungano utakufa kabisa.
In other words uwepo wa Tanganyika uta sustain muungano ukiwa ICU na dawa ya kudumu ikitafutwa. Kulazimisha serikali 2 ni kuwatuma wananchi tusikohitaji kufika.
Wewe na wenzako akina Nape mkae mkijua kuwa hisyoria ya dunia inaonyesha wazi kuwa HAKUNA MAHALI NA SERIKALI YOYOTE DUNIANI ILIYOWEZA KUKABLIANA NA NGUVU YA UMMA NA KUSHINDA.
cc JokaKuu Bongolander Mchambuzi AshaDii Mag3 Pasco zumbemkuu
ndo hapo uwashangae viongozi wetu,zanzibar huruhusiwa kununua kiwanja lakini wao huku kwetu wananunua wanavyotakaHivi wakuu kwanza habari za asbh, naomba kuuliza hivi hakuna maisha nje ya "Muungano "..? Sbb kiukweli wazenj hawataki kabisa hichi kitu kinachoitwa Muungano lkn sisi tunang'ang'ania kweli utadhani wazenj ndo wanatupa oxygen. Je mnajua kuwa mtu yeyote kutoka bara kule zenj anaitwa kafiri? Cjui ni udini au chuki tu lkn ukitaka kuamini haya nisemayo nenda Zanzibar kajionee
WanaJF,
Rais mstaafu wa JMT, ndugu Benjamin Mkapa, ametoa maoni hayo akiwa kwenye hafla fupi ya kuzindua vitabu vyenye hotuba zake zote za kipindi alichokuwa rais wa JMT.
Ndugu Mkapa amesema ili kuendeleza umoja na mshikamano wetu wa kihistoria, ni vyema Watanzania wabaki na muundo huu uliopo wa serikali (yaani serikali mbili).
Aidha, rais huyo mstaafu alitumia nafasi hiyo kutuasa Watanzania juu ya kuenzi amani na utulivu wetu hasa katika kipindi hiki cha kuandaa katiba mpya ya nchi.
My take,
Binafsi bado sijashawishika na wale wanao pendekeza serikali 3 mpaka sasa. Mara nyingi nikijaribu kufuatilia naona wengi wanao shabikia kufufuka kwa Tanganyika ni wafuata upepo wasio na hoja yoyote ya msingi ya kuwapa hamu ya kuitaka Tanganyika!
Kuna haja yoyote ya kuifufua Tanganyika? Kufanya hivyo kutajibu matatizo yetu ya taifa kama vile ujinga, magonjwa na umaskini?, hell no. Zanzibar imejitangaza nchi kamili hivi karibuni. Je, wamebadilika nini mpaka sasa?
KILICHO KUFA, KIBAKI KUWA MFU TU.
Kuna haja yoyote ya kuifufua Tanganyika?
Kufanya hivyo kutajibu matatizo yetu ya taifa kama vile ujinga, magonjwa na umaskini?, hell no.
WanaJF,
Rais mstaafu wa JMT, ndugu Benjamin Mkapa, ametoa maoni hayo akiwa kwenye hafla fupi ya kuzindua vitabu vyenye hotuba zake zote za kipindi alichokuwa rais wa JMT.
Ndugu Mkapa amesema ili kuendeleza umoja na mshikamano wetu wa kihistoria, ni vyema Watanzania wabaki na muundo huu uliopo wa serikali (yaani serikali mbili).
Aidha, rais huyo mstaafu alitumia nafasi hiyo kutuasa Watanzania juu ya kuenzi amani na utulivu wetu hasa katika kipindi hiki cha kuandaa katiba mpya ya nchi.
My take,
Binafsi bado sijashawishika na wale wanao pendekeza serikali 3 mpaka sasa. Mara nyingi nikijaribu kufuatilia naona wengi wanao shabikia kufufuka kwa Tanganyika ni wafuata upepo wasio na hoja yoyote ya msingi ya kuwapa hamu ya kuitaka Tanganyika!
Wewe ndiye bendera fuata upepo, hujiulizi kwanini Waziri Mkuu hajawahi kwenda Zanzibar hata kufungua shuke ya chekechea?